Daaah... kunmagonjwa kama hayo dawa ni maombi tu, unaishi vipi bla kula ugaliPole sana! Inaweza kuwa allergy kuna kitu unakula usikute kwako kinakuwa sumu. Ungejaribu kuwaona specialist. Kuna rafiki angu mmoja naye alikuwa na tatizo hilo la kila siku anawashwa alihangaika sana hospitali wanampa dawa lakn hakuna nafuu. Baadae ikaja kugundulika ana allergy na mahindi. Toka hapo hajawai kula ugali wala kitu chochote kinachopikwa na mahindi. Na siku akiwa na hamu ya kula ugali basi dawa zake zinakuwa pembeni
Naomba unisaidiee.... Nina tatizo la kuumwa kiuno.. Hivi kalibu yapata wiki ya 3 toka nianze kusikia maumivu haya ya kiuno. Je ninawez kupata tiba?!Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako. Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Ugonwa wa Corona (COVID-19)
MPYA: Jinsi ya kujenga kinga ya mwili
Je papai inaweza kuwa na Corona?
Ugonjwa wa Kisukari
Chanjo ya Corona
Kuendelea kupata dondoo za Afya kwa kupitia video, Bofya Hapa: Subscribe
Kapime U.T.INaomba unisaidiee.... Nina tatizo la kuumwa kiuno.. Hivi kalibu yapata wiki ya 3 toka nianze kusikia maumivu haya ya kiuno. Je ninawez kupata tiba?!
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako. Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Ugonwa wa Corona (COVID-19)
MPYA: Jinsi ya kujenga kinga ya mwili
Je papai inaweza kuwa na Corona?
Ugonjwa wa Kisukari
Chanjo ya Corona
Kuendelea kupata dondoo za Afya kwa kupitia video, Bofya Hapa: Subscribe
Habari doctor
Niko kwenye ndoa ya miezi 5 sasa ambapo toka nimeolewa ule mwezi wa kwanza ambao ni wa sita uliisha vyema wa 7 nikawa naumwa umwa sana mara uti nikiitibu inarud tukanywa dawa na mume wangu huo mwezi nikaziona siku zangu siku moja tu nikawa naumwa umwa wa 8 niliziona zikiwa sawa yani siku 3 kama kawaida yake ya nne zinakata mwezi wa 9 nikaziona siku 2 na zilikuwa hazitoke ilivyo kawaida yake ila huo mwezi nikawa naziona dalili kama nikomjamzito na uzito ukaongezeka ghafla ila nikichukua kipimo kupima hakionyeshi ila ninamabadiliko yote uani chuchu nyeus na mstari wa tumboni ninakichefchef napenda vitu vichachu nachoka sana na damu inapungua kila nikipima niko na doz ya juis ya choya kila siku
Nilipiga utrasound nikaambiwa ni uvimbe nisaidie ni kweli ni uvimbe
Uliambiwa ni uvimbe wa aina gani?
Habari,Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako. Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Ugonwa wa Corona (COVID-19)
MPYA: Jinsi ya kujenga kinga ya mwili
Je papai inaweza kuwa na Corona?
Ugonjwa wa Kisukari
Chanjo ya Corona
Kuendelea kupata dondoo za Afya kwa kupitia video, Bofya Hapa: Subscribe
Aisee!Habari,
Nna swali moja, Lengo langu nataka uume usisimame, nisitamani mwanamke yyte wala kuzalisha ndani ya kipindi cha miaka kadhaa. Yaani nataka nisiwe na hisia za mapenzi kabisa. Nataka nikimuona mwanamke nione kama mwanaume tu, Je nitumie dawa/ktu gani?
Asante