#COVID19 Mtaalamu: Kirusi kipya cha Corona ni " kijanja" kuliko Delta kinakwepa chanjo, Chukueni tahadhari zote kujikinga na maambukizi

Hiyo ni plan ya wazungu ikikaribia ramadhani ya waislamu utasikia kirusi kipya ili wasiende kuhiji macca na kufanya umra ibada ya ramadhani huko makka na ubaya saudia wana mfalme ovyoo sana ni bora angepatikana mfalme anaefanana na makufuli huko
 
hiyo ni plan ya wazungu ikikaribia ramadhani ya waislamu utasikia kirusi kipya ili wasiende kuhiji macca na kufanya umra ibada ya ramadhani huko makka na ubaya saudia wana mfalme ovyoo sana ni bora angepatikana mfalme anaefanana na makufuli huko
Hivi Eid El Fitr na Eid El Haj ni tofauti?

Samahani lakini.
 
hiyo ni plan ya wazungu ikikaribia ramadhani ya waislamu utasikia kirusi kipya ili wasiende kuhiji macca na kufanya umra ibada ya ramadhani huko makka na ubaya saudia wana mfalme ovyoo sana ni bora angepatikana mfalme anaefanana na makufuli huko
So mnamtaka mfalme kichaa?
 
Kuchanja ni moja ya njia za kuchukua tahadhari!
Sawa kabisa.

ILa sasa utachanja mara ngapi kwa kila kirusi kipya?.

Na hiki cha nne ndiyo taarifa zake hizi, yaani kikiona unachanjwa kinakimbilia kujificha au kinajibadili kuwa safe white blood cells kikiona chanjo imepoa kinarudi!.

👉🏾 Daa hii dunia 😂😂😂😂😂😂!
 
Wakuu, za chini ya kapeti ni kwamba hizo viral manipulations zinafanyika intentionally ndani ya lab kutengeneza kirusi kipya chenye nguvu mpya kila awamu na kupewa numerali mpya...........naona waabudu shetani wanatekeleza ajenda zao dhidi ya binadamu kimkakati zaidi, lakini hawana namna ya kukwepa ile hukumu iliyo kuu...
 
Kirusi hiki kinapenda wale waliochanja tu walioamua kujiwekea Kinga artificial ya mwili kutoka kwa mabeberu
 
Mganga mkuu wa Uingereza ameitangazia dunia kwamba kirusi kipya cha Corona ni kijanja kuliko kile cha delta na kinakwepa mishale ya chanjo.

Mtaalamu huyo amesema jambo la muhimu kwa sasa ni kila binadamu kuchukua tahadhari zote ili kukwepa maambukizi.

Source: BBC Dira ya Dunia
Kirusi kina akili kuliko binadamu.
 
Back
Top Bottom