Mstari mwekundu wa Iran umeshavukwa lakini bado wanatii amri

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,199
10,935
Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaka Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni kuvuka mstari mwekundu katika mzozo huo ikiashiria na wao wataingilia kati kupambana kuwatetea wapalestina.

Tangu Ijumaa iliyopita jeshi hilo La IDf limetangaza kuvusha vifaru vyake kuingia Gaza. Ijapokuwa vifaru hivyo vimekuwa vikipata upinzani mkali na kulazimika kurudi nyuma kutoka kwa Hamas, hata hivyo ni kweli vimevuka mpaka na vimeuvuka huo mstari mwekundu uliochorwa na Iran.

Kinyume na kurudisha mapigo kwa kasi Iran imeendelea kutoa matamko ya kubembeleza na kulalamika na kuonya zaidi kwa kusema wao wameambiwa wasiingilie vita hivyo lakini mbona Marekani inazidi kuiunga mkono Israel.

Uungaji mkono huo wa Marekani na washirika wake hasa UK ni kweli upo na uko kwa maneno na vitendo.Bado tu Iran inaendelea kushuhudisha watu kuwa hao walioamrisha wakae kimya wanavunja makubaliano.

Muda huo huo Israel ikiwa imevuka mpaka na ndege zinadondosha mabomu ikiwemo aina mpya ya Iron sitng, nchi kama Saudia zina ratiba ya kukutana na viongozi wa Marekani wiki ijayo kuzungumzia masuala ya Gaza na uwezekano wa kusitisha vita. Inawezekana wanachokusudia kukizungumza sio kusitishwa vita bali wana ajenda nyengine tofauti .

Hayo yote yakitokea Gaza, kule ukanda wa magharibi na mashariki, kiongozi wa PLO ndio kabisa amepiga kimya kama kwamba ni mgonjwa huku walowezi wa kiyahudi wakiwaua wapalestina na kuwafukuza kwenye majumba na mashamba yoa.
Sambamba na walowezi jeshi la IDF limekuwa likipiga kutoka angani kama linavyofanya kule Gaza.

Kuhusu yanayowakuta wapalestina wa upande huo,raisi Biden ametoa tamko jepesi la kutaka walowezi waache kuwapiga wapalestina na upande wa Shinbet, shirika la ujasusi la Israel wametoa matamko kama hayo bila kutaka jeshi la IDF kuacha mashambulizi yake.

Kila mmoja kati ya wale walioonekana kuwa wangekuwa watetezi wakali na wenye sababu za kufanya hivyo kwa wapalestina katika muda ambapo misaada yao ni ya lazima, watakuwa wana sababu zao ambazo hawajaweza kuzidhihirisha.Kubwa linalofanana kwa wote ni kuhofia madaraka na mipango yao kwa hofu kuwa Marekani na Israel zitawapiga au zitawavunjia mipango yao hiyo.

Kwa mfano Saudia wana mradi wa kuigeuza nchi hiyo kuwa pepo ya dunia ambao wasingependa urudi nyuma na hasa kwa vile wameshatumia gharama kubwa sana mpaka hapo walipofika.Watu watasemaje ikiwa miradi hiyo haitokamilika.

Wakati watu wanakufa kwa njaa na kiu Gaza, Misri imetoa sababu za kilemavu za kutokufikisha misaada Gaza ikiilaumu Israel wakati kumbe mpaka wa Rafah wala haujapakana na Israel, ni baina yake na Gaza tu na pia upekuzi wa malori ya misaada hufanyika kilomita 62 ndani ya Misri kabla ya hata kufika huko Rafah.

Iran kwa upande wake iko karibu kukamilisha kurutubisha silaha zake za nyuklia na sijui zikikamilika wanakusudia kumpiga nani.
Kimya cha Mahmoud Abbas na viongozi wenzake wa PLO ni ahadi ya kumilikishwa Palestina pamoja na Gaza kitu ambacho baada ya Israel kufanikiwa kuikamata Gaza kama watafanikiwa wala hakitotekelezwa.
Maelezo na sababu ni kama hizo kwa Syria na Jordan.Kila mmoja akiwa na hofu ya kitu fulani alichonacho mkononi.
Kilichobaki ni Hamas wapigane kwa nafsi zao kwa silaha hafifu walizonazo wakitegemea msaada wa Allah mwenye nguvu za kweli na ambaye rehema zake huenea kote na huja wakati usiotegemewa.
 
Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaha Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni kuvuka mstari mwekundu katika mzozo huo ikiashiria na wao wataingilia kati kupambana kuwatetea wapalestina.
Tangu Ijumaa iliyopita jeshi hilo La IDf limetangaza kuvusha vifaru vyake kuingia Gaza.Ijapokuwa vifaru hivyo vimekuwa vikipata upinzani mkali na kulazimika kurudi nyuma kutoka kwa Hamas,hata hivyo ni kweli vimevuka mpaka na vimeuvuka huo mstari mwekundu uliochorwa na Iran.
Kinyume na kurudisha mapigo kwa kasi Iran imeendelea kutoa matamko ya kubembeleza na kulalamika na kuonya zaidi kwa kusema wao wameambiwa wasiingilie vita hivyo lakini mbona Marekani inazidi kuiunga mkono Israel.Uungaji mkono huo wa Marekani na washirika wake hasa UK ni kweli upo na uko kwa maneno na vitndo.Bado tu Iran inaendelea kushuhudisha watu kuwa hao walioamrisha wakae kimya wanavunja makubaliano.
Muda huo huo Israel imevuka mpaka na ndege zinadondosha mabomu mpaka Iron sitng nchi kama Saudia zina ratiba ya kukutana na viongozi wa Marekani wiki ijayo kuzungumzia masuala ya Gaza na uwezekano wa kusitisha vita.Inawezekana wanachokusudia kukizungumza sio kusitishwa vita bali wana ajenda nyengine tofauti .
Hayo yote yakitokea Gaza kule ukanda wa magharibi na mashariki kiongozi wa PLO ndio kambisa amepiga kimya kama kwamba ni mgonjwa huku walowezi wa kiyahudi wakiwauwa wapalestina na kuwafukuza kwenye maumba na mashamba yoa.Sambamba na walowezi jeshi la IDF limekuwa likipiga kutoka angani kama linavyofanya kule Gaza.
Kuhusu yanayowakuta wapalestina wa upande huo,raisi Biden ametoa tamko jepesi la kutaka walowezi waache kuwapiga wapalestina na upande wa Shinbet,shirika la ujasusi la Israel wametoa matamko kama hayo bila kutaka jeshi la IDF kuacha mashambulizi yake.
Kila mmoja kati ya wale walioonekan kuwa wangekuwa watetezi wakali na wenye sababu za kufanya hivyo kwa wapalestina katika muda ambapo misaada yao ni ya lazima watakuwa wana sababu zao ambazo hawajaweza kuzidhihirisha.Kubwa linalofanana kwa wote ni kuhofia madaraka na mipango yao kwa hofu kuwa Marekani na Israel zitawapiga au zitawavunjia mipango yao
Kwa mfano Saudia wana mradi wa kuigeuza nchi hiyo kuwa pepo ya dunia ambao wasingependa urudi nyuma na hasa kwa vile wameshatumia gharama kubwa sana mpaka hapo walipofika.Watu watasemaje ikiwa miradi hiyo haitokamilika.
Wakati watu wanakufa kwa njaa na kiu Gaza,Misri imetoa sababu za kilemavu za kutokufikisha misaada Gaza ikiilaumu Israel wakati kumbe mpaka wa Rafah wala haujapakana na Israel baina ni baina yake na Gaza na pia upekuzi wa malori ya misaada hufanyika kilomita 62 ndani ya Misri kabla ya hata kufika huko Rafah.
Iran kwa upande wake iko karibu kukamilisha kurutubisha silaha zake za nyuklia na sijui zikikamilika wanakusudia kumpiga nani.Maelezo na sababu ni kama hizo kwa Syria na Jordan.
Kilichobaki Hamas wapigane kwa nafsi zao kwa silaha hafifu walizonazo wakitegemea msaada wa Allah mwenye nguvu za kweli na ambaye rehema zake huenea kote na huja wakati usiotegemewa.
1698731681081.png
 
Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaka Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni kuvuka mstari mwekundu katika mzozo huo ikiashiria na wao wataingilia kati kupambana kuwatetea wapalestina.

Tangu Ijumaa iliyopita jeshi hilo La IDf limetangaza kuvusha vifaru vyake kuingia Gaza. Ijapokuwa vifaru hivyo vimekuwa vikipata upinzani mkali na kulazimika kurudi nyuma kutoka kwa Hamas, hata hivyo ni kweli vimevuka mpaka na vimeuvuka huo mstari mwekundu uliochorwa na Iran.

Kinyume na kurudisha mapigo kwa kasi Iran imeendelea kutoa matamko ya kubembeleza na kulalamika na kuonya zaidi kwa kusema wao wameambiwa wasiingilie vita hivyo lakini mbona Marekani inazidi kuiunga mkono Israel.

Uungaji mkono huo wa Marekani na washirika wake hasa UK ni kweli upo na uko kwa maneno na vitendo.Bado tu Iran inaendelea kushuhudisha watu kuwa hao walioamrisha wakae kimya wanavunja makubaliano.

Muda huo huo Israel ikiwa imevuka mpaka na ndege zinadondosha mabomu ikiwemo aina mpya ya Iron sitng, nchi kama Saudia zina ratiba ya kukutana na viongozi wa Marekani wiki ijayo kuzungumzia masuala ya Gaza na uwezekano wa kusitisha vita. Inawezekana wanachokusudia kukizungumza sio kusitishwa vita bali wana ajenda nyengine tofauti .

Hayo yote yakitokea Gaza, kule ukanda wa magharibi na mashariki, kiongozi wa PLO ndio kabisa amepiga kimya kama kwamba ni mgonjwa huku walowezi wa kiyahudi wakiwaua wapalestina na kuwafukuza kwenye maumba na mashamba yoa.
Sambamba na walowezi jeshi la IDF limekuwa likipiga kutoka angani kama linavyofanya kule Gaza.

Kuhusu yanayowakuta wapalestina wa upande huo,raisi Biden ametoa tamko jepesi la kutaka walowezi waache kuwapiga wapalestina na upande wa Shinbet, shirika la ujasusi la Israel wametoa matamko kama hayo bila kutaka jeshi la IDF kuacha mashambulizi yake.

Kila mmoja kati ya wale walioonekana kuwa wangekuwa watetezi wakali na wenye sababu za kufanya hivyo kwa wapalestina katika muda ambapo misaada yao ni ya lazima, watakuwa wana sababu zao ambazo hawajaweza kuzidhihirisha.Kubwa linalofanana kwa wote ni kuhofia madaraka na mipango yao kwa hofu kuwa Marekani na Israel zitawapiga au zitawavunjia mipango yao hiyo.

Kwa mfano Saudia wana mradi wa kuigeuza nchi hiyo kuwa pepo ya dunia ambao wasingependa urudi nyuma na hasa kwa vile wameshatumia gharama kubwa sana mpaka hapo walipofika.Watu watasemaje ikiwa miradi hiyo haitokamilika.

Wakati watu wanakufa kwa njaa na kiu Gaza, Misri imetoa sababu za kilemavu za kutokufikisha misaada Gaza ikiilaumu Israel wakati kumbe mpaka wa Rafah wala haujapakana na Israel, ni baina yake na Gaza tu na pia upekuzi wa malori ya misaada hufanyika kilomita 62 ndani ya Misri kabla ya hata kufika huko Rafah.

Iran kwa upande wake iko karibu kukamilisha kurutubisha silaha zake za nyuklia na sijui zikikamilika wanakusudia kumpiga nani.
Kimya cha Mahmoud Abbas na viongozi wenzake wa PLO ni ahadi ya kumilikishwa Palestina pamoja na Gaza kitu ambacho baada ya Israel kufanikiwa kuikamata Gaza kama watafanikiwa wala hakitotekelezwa.
Maelezo na sababu ni kama hizo kwa Syria na Jordan.Kila mmoja akiwa na hofu ya kitu fulani alichonacho mkononi.
Kilichobaki ni Hamas wapigane kwa nafsi zao kwa silaha hafifu walizonazo wakitegemea msaada wa Allah mwenye nguvu za kweli na ambaye rehema zake huenea kote na huja wakati usiotegemewa.
Iran na hizo nchi za kiarabu wamefanya kama unavyofanya wewe. Talking talking talking. Wakijua hakuna kitu. Eti vifaru vya Israel vimechakazwa. Mpaka muda huu ni askari wangapi wamekufa? Watu wako katikat ya mji we unasema wanaingia na kutoka
 
Wanatumia ndege.Hawapo katikati.Vifaru vimeshaingia mara mbiii na kulazimika kurudi nyuma.Siku ya Ijuma vilichakazwa kweli.
Kama umeviona katikati onesha wapi vilipo.
 
hayo ni matokeo ya vita, subiri tuone hadi mwisho. sasa mbona hamas wameshaanza kutoa video za mateka wakiomba israel isitishe mapigano, kama wangekuwa hawajakamatika kwanini wanatamani vita iishe? si kwasababu hawana pa kutokea, israel amesema vita hiyo kwake ni ngumu na ni ya muda mrefu, Gaza ni eneo lililozungukwa, pande, na jana Israel wameshazunguka na kufunga njia toka kusini wakiwatenganisha wapalestina waliokimbilia kusinina upande wa gaza wa kaskazini, hivyo Gaza ya kaskazini ambako hamas wamejificha kumeshazungukwa, hawana pa kutokea, na hawawezi kukaa pale mwaka mmoja, wataishiwa chakula, silaha, maji, mafuta ya kuendeshea mitambo na magari, na watakamatwa kama panya tu. its just a matter of time. ingelikuwa hawajazungukwa, wangeweza kukimbia nchi, ila hawana pa kutokea israel amezunguka kote wenyewe wapo katikati, upande wowote wakichomoza kichwa watafyekwa.
 
mzee Gaza wana igawa katikati kisha mashambulizi yana pigwa kiasi kwamba hata vifusi vita geuzwa juu chini hakutakua na magaidi yena wakuitwa Hamas uko ukanda wa Gaza
 
hayo ni matokeo ya vita, subiri tuone hadi mwisho. sasa mbona hamas wameshaanza kutoa video za mateka wakiomba israel isitishe mapigano, kama wangekuwa hawajakamatika kwanini wanatamani vita iishe? si kwasababu hawana pa kutokea, israel amesema vita hiyo kwake ni ngumu na ni ya muda mrefu, Gaza ni eneo lililozungukwa, pande, na jana Israel wameshazunguka na kufunga njia toka kusini wakiwatenganisha wapalestina waliokimbilia kusinina upande wa gaza wa kaskazini, hivyo Gaza ya kaskazini ambako hamas wamejificha kumeshazungukwa, hawana pa kutokea, na hawawezi kukaa pale mwaka mmoja, wataishiwa chakula, silaha, maji, mafuta ya kuendeshea mitambo na magari, na watakamatwa kama panya tu. its just a matter of time. ingelikuwa hawajazungukwa, wangeweza kukimbia nchi, ila hawana pa kutokea israel amezunguka kote wenyewe wapo katikati, upande wowote wakichomoza kichwa watafyekwa.
Umesema subiri tuone.
Hamas kutoa video ina maana nyingi.Mbona Netanyahu imebidi aijibu hiyo video haraka haraka kwa kutoa picha ya askari waliyesema ameokolewa na kumbe ni askari wa shinbet.
Askari huyo wamempata vipi wala hawakusema,
 
Baadae msilalamike tena mafuta yamepanda ooh chakula mbona tunalima lakini bei juu
Furahieni sana tena na party juu
Ila kilio kitakuja soon
Unasema au unatuambia.Kwa sababu kukemea uovu ni jukumu la wote.Mafuta yakipanda yanapanda kwa sote.
Ukiona Israel anapiga hospitali na kuuwa watu kwa kiu na njaa na wewe waambie sitisha vita.
 
Huyo anatetea wakristo ambao hata wao ukristo hawaujui,pumbv zak
Wakristo wa kweli na wenye kujijua wako bega kwa bega na waislamu kote duniani kupambana na mayahudi.Afadhali walslamu bado wanaonekana kule Palestina na Jerusalem.Wakristo karibu wamemalizwa na mayahudi.
Soma hiyo link hapo chini utaona wakristo sasa wako asilimia moja tu ya wakazi wa Jerusalem.Kwenye kanisa siku za krismas hata benchi moja halijai.
Karibuni mayahudi walikuwa karibu wabadili ule mlima wa zaituni uwe bustani ya kufugia wanyama.

Jerusalem’s Christian population sees steep decline: Church leader

kinachosikitisha ni kwamba hawa ni raia, sio wanajeshi, na wamekamatwa kutoka majumbani, na mtu akiona mpalestina ameuawa analalamika. unafikiri israel hawana roho?
Hapo umeona raia ni wazima.Sasa nani anayeumia zaidi kati ya anayeona ndugu yake akizungumza na yule anayeokota viungo vya watoto na wazee wake chini ya vifusi.Na sio mmoja au wawili ni kwa maelfu na kila siku.
 
Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaka Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni kuvuka mstari mwekundu katika mzozo huo ikiashiria na wao wataingilia kati kupambana kuwatetea wapalestina.

Tangu Ijumaa iliyopita jeshi hilo La IDf limetangaza kuvusha vifaru vyake kuingia Gaza. Ijapokuwa vifaru hivyo vimekuwa vikipata upinzani mkali na kulazimika kurudi nyuma kutoka kwa Hamas, hata hivyo ni kweli vimevuka mpaka na vimeuvuka huo mstari mwekundu uliochorwa na Iran.

Kinyume na kurudisha mapigo kwa kasi Iran imeendelea kutoa matamko ya kubembeleza na kulalamika na kuonya zaidi kwa kusema wao wameambiwa wasiingilie vita hivyo lakini mbona Marekani inazidi kuiunga mkono Israel.

Uungaji mkono huo wa Marekani na washirika wake hasa UK ni kweli upo na uko kwa maneno na vitendo.Bado tu Iran inaendelea kushuhudisha watu kuwa hao walioamrisha wakae kimya wanavunja makubaliano.

Muda huo huo Israel ikiwa imevuka mpaka na ndege zinadondosha mabomu ikiwemo aina mpya ya Iron sitng, nchi kama Saudia zina ratiba ya kukutana na viongozi wa Marekani wiki ijayo kuzungumzia masuala ya Gaza na uwezekano wa kusitisha vita. Inawezekana wanachokusudia kukizungumza sio kusitishwa vita bali wana ajenda nyengine tofauti .

Hayo yote yakitokea Gaza, kule ukanda wa magharibi na mashariki, kiongozi wa PLO ndio kabisa amepiga kimya kama kwamba ni mgonjwa huku walowezi wa kiyahudi wakiwaua wapalestina na kuwafukuza kwenye maumba na mashamba yoa.
Sambamba na walowezi jeshi la IDF limekuwa likipiga kutoka angani kama linavyofanya kule Gaza.

Kuhusu yanayowakuta wapalestina wa upande huo,raisi Biden ametoa tamko jepesi la kutaka walowezi waache kuwapiga wapalestina na upande wa Shinbet, shirika la ujasusi la Israel wametoa matamko kama hayo bila kutaka jeshi la IDF kuacha mashambulizi yake.

Kila mmoja kati ya wale walioonekana kuwa wangekuwa watetezi wakali na wenye sababu za kufanya hivyo kwa wapalestina katika muda ambapo misaada yao ni ya lazima, watakuwa wana sababu zao ambazo hawajaweza kuzidhihirisha.Kubwa linalofanana kwa wote ni kuhofia madaraka na mipango yao kwa hofu kuwa Marekani na Israel zitawapiga au zitawavunjia mipango yao hiyo.

Kwa mfano Saudia wana mradi wa kuigeuza nchi hiyo kuwa pepo ya dunia ambao wasingependa urudi nyuma na hasa kwa vile wameshatumia gharama kubwa sana mpaka hapo walipofika.Watu watasemaje ikiwa miradi hiyo haitokamilika.

Wakati watu wanakufa kwa njaa na kiu Gaza, Misri imetoa sababu za kilemavu za kutokufikisha misaada Gaza ikiilaumu Israel wakati kumbe mpaka wa Rafah wala haujapakana na Israel, ni baina yake na Gaza tu na pia upekuzi wa malori ya misaada hufanyika kilomita 62 ndani ya Misri kabla ya hata kufika huko Rafah.

Iran kwa upande wake iko karibu kukamilisha kurutubisha silaha zake za nyuklia na sijui zikikamilika wanakusudia kumpiga nani.
Kimya cha Mahmoud Abbas na viongozi wenzake wa PLO ni ahadi ya kumilikishwa Palestina pamoja na Gaza kitu ambacho baada ya Israel kufanikiwa kuikamata Gaza kama watafanikiwa wala hakitotekelezwa.
Maelezo na sababu ni kama hizo kwa Syria na Jordan.Kila mmoja akiwa na hofu ya kitu fulani alichonacho mkononi.
Kilichobaki ni Hamas wapigane kwa nafsi zao kwa silaha hafifu walizonazo wakitegemea msaada wa Allah mwenye nguvu za kweli na ambaye rehema zake huenea kote na huja wakati usiotegemewa.

Niwah kusema humu kwa mtoa mada mmoja ....watu wanachukulia kimihemuko ya kidini na skin color hii vita.. wakat wakubwa wa dunia wala hawako huko

Nikasema suluhisho la hii vita ni mpaka wakubwa waamue.. maana wote hao wanachagua upande kutokana na kuangalia watafaidikaje Arab league wote wataishia kutoa matamko.. ni waislam wenzao na ni waraab wenzao.. ila sababu kwa hao the likes of Saudia na iran.. wanaona they have more to loose wakiingia.. na hawana maslah ya moja kwa moja pale ..

Hao Misri, Syria, Iran (nazungumzia viongoz na wafanyabiashara wao) sio raia wa kawaida wa hizo Inchi.. wote wanajua wakishajitoa muhanga kuingia basi hawana maisha marefu kwenye uongozi..na watakosa kula
Mema Ya nchi Zao wakikumbuka ya Sadam
Na ghadafi.. wanapiga kimya

Huyo bashaar wa Syria aliponea chupuchupu kutolea na hapo ni sababu alikuwa anagombewa na wakubw awa Europe wawili.. la
Sivyo kama Mrusi angekuwa hana Maslah Syria zaman sasa hv Syria ni Iraq au Libya ingine

So Iran anaenda kimachale nia ya kuingia anayo ila desire ya kuendelea kula utamu wa kula mema ya nchi ni kubwa so anauma na kupuliza..

Misri utawala wa sasa hv ni puppet wa westerns.. same as Syria.. Jordan na hatak hata kuuguswa maana anajua Akijifanya kidomo ataletewa raman za karne ya kwanza aambiwe jiko la familia ya Musa ilikuwaga hapo pia yeye anapaswa kuchapa lapa..baadhi ya maeneo..

Raia wa kawaida wataandamana nawatapiganana wao kwa wao ila nothing will change

China na Urusi wote wanalaan ila sababu hawana maslah hawana haja ya kujitia hasara

Dunia ya sasa hv tutakusaidia tukiona fursa kwako kama hakuna ache ufe tu.. angalia somali na sudan wanavyochinjana..
Wakubwa wanauza silaha tu

Wakubwa wote maisha yao kuliana timing nani awe wa kwanza kufulia mwingine akamate usukan awe anatawala dunia.. Urusi hatak ya USSR yajirudie, china akiangalia Japan alikuwaga super power akamvimbia USA na Westerns nao anawatumikia anaona mh ngoja kwanza..
 
Back
Top Bottom