sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Habari
Mkapa ashambuliwa
Ezekiel Kamwaga
Toleo la 315
11 Sep 2013
- Swahiba wa baba Obama amwondolea uvivu
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa ametuhumiwa kwamba ndiye aliyerejesha nchini rushwa, kitu ambacho kilipigwa vita na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ambaye ndiye aliyewalea kiuongozi na kisiasa Mkapa na viongozi wengi wengine wa sasa.
Tuhuma hizo zimetolewa na mwandishi mkongwe wa habari Afrika Mashariki, Philip Ochieng, katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Daily Nation la Kenya hivi karibuni