Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,399
- 3,919
Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo.
Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana wa rasilimali lakini tupatapo viongozi wanaoshindwa kuwachukulia hatua wezi wa mali za umma huyu Rais atakuwa ameshindwa kazi yake.
Mwaka mpya unaanza ninamuomba Samia asimamie kwa ukali Sana mali za umma ziwanufaishe watanzania woote asiruhusu kila mtu ale lakini pia awakanye machawa wanaosema yeye kafanya wakati hana utajiri hata wa kujenga km 100 za lami huu mtindo aukomeshe utaua Taasisi za nchi.