Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Point 6 tu

Mechi 2 zijazo anatangazwa
Nimemaanisha kuwa kimahesabu Azam ana point 54 huku akiwa na michezo 6 ambazo sawa na point 18. Ukijumlisha na alizo nazo saivi inakuwa point 72.. Yanga ili atangaze ubingwa wanahitaji kufikisha point 73 ambazo haziwezi kufikiwa na yeyote yule. Kwasasa Yanga ina point 65 hivyo ili kupata point 73 inabidi apate point 9 sawa na michezo mitatu.

Ikitokea Azam wakapata sare au kufungwa kwenye michezo yao, ndivyo itakavyoirahisishia Yanga safari ya ubingwa kwavile hawatohitaji tena point 73 ndio watangaze ubingwa.
 
Point 6 ni endapo Azam atadondosha point. Ila kama hatodondosha point kwenye mechi zake maanake itamuhitaji Yanga ashinde mechi tatu mfululizo ndio atamaliza shughuli kwa kufanya asiweze kufikiwa point na yeyote yule.
Ligi bado waendelee kukaza
 
FB_IMG_17156186838555110.jpg
 
Back
Top Bottom