Msimamo wa Mtaka wawakuna CCM,CHADEMA

Kama hujui kwanini nimewataja hao Wakuu wa Mikoa basi darasani ulikuwa unashika mkia..!!
Hapa tunazungumzia utendaji kazi uliotukuka wa RC-Simiyu Mhe. Mtaka. Niliowataja ni kuwataka waache utendaji wao mbovu kwa kujifunza toka kwa RC Mtaka waache upuzi wao wa kuweka watu Mahabusu kwa kuwakomoa Watumishi pasi na sababu za msingi..!!!!sasa wivu wangu ni upi hapo? RC Mtaka anasema huwezi kujenga kiwanda kwa kuwaweka watu mahabusu..!!
RC Mtaka pia anasema ukishawaweka Mahabusu Watumishi wote kwanza unawapunguzia morali ya kazi na pili unajenga chuki miongozi mwa Watumishi matokeo yake ni migogoro isiyo na mwisho.......matokeo yake badaa ya kujenga viwanda unajenga au kutengeza migogoro..hiyo ni akili muflisi na ukichaa....!!
Hivi huwezi kutetea hoja yako bila kushambulia issue za mtu binafsi.

Hongera Kwa Kuwa wa kwanza shuleni kazana hivo hivo uwe wa kwanza kwenye kila kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu jamii ya mtaka ukifanya naye kazi utapiga kazi kwa furaha na juhudi zote.
Hata kitone cha ujuzi hubakizi.
 
Back
Top Bottom