Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Huwezi kujua kama nilisafiri na wewe
Wee mbulumundu mimi ni ex cop na kabla sijapanda ndege lazima nizijue sura zilizokaa karibu nami

Wakati nakwenda ndege ilikuwa na watu saba na wakati wa kurudi abiria tulikuwa wawili wanaume na mtoto mdogop wa miaka mitano mmoja jumla watatu tu na rubani wa nne

Sasa sijui kama wewe ndio yule aliekuwa kapakatwa na mama yake akilia njia nzima wakati tunakwenda kwa sababu kanyimwa embe au yule aliekuwa akinirembulia macho
 
kila siku nawasikitikia watoto wako kwa kuwa na baba kilaza kama ww lukosi
cha ajabu zaidi ni huyo mwanamke aliyekubali kuolewa na zezeta wa aina yako sijui ni mwanamke wa aina gani huyo
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

acha kufuata fuata mambo ya wanaume utaanza kutema mate sasa hivi shauri zako
 
Wee mbulumundu mimi ni ex cop na kabla sijapanda ndege lazima nizijue sura zilizokaa karibu nami

Wakati nakwenda ndege ilikuwa na watu saba na wakati wa kurudi abiria tulikuwa wawili wanaume na mtoto mdogop wa miaka mitano mmoja jumla watatu tu na rubani wa nne

Sasa sijui kama wewe ndio yule aliekuwa kapakatwa na mama yake akilia njia nzima wakati tunakwenda kwa sababu kanyimwa embe au yule aliekuwa akinirembulia macho

Kama usingekuwa mla rushwa ulipokuwa askari sa hizi usingekuwa unabeba mabox pia usingekula rambirambi za Marehemu Mwangosi.
 
jibu swali kwanza YESU alisomea wapi uchungaji?

Yesu ni mungu na msigwa ni M2 ndiomasna yesu hakwenda kusomea uchungaji! Sasa namsigwa naye ana hadhi ya uungu! .... au ndio mambo ya " roho mtakatifu"
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Nina mashaka na lengo la hii post yako.
If u really wanted to know u could have just visited parliamentary website and realize that he went to All Africa Bible College, South Africa.
Huku ni kukosa mawazo ya maana na kuanzisha majungu. Nahisi umri wako ni mkubwa ila hauendani na mambo kama haya. Ningekuelewa kama ungeweka kule kwenye jokes.
Hii inaonyesha ni jinsi gani umedanganya kwa kusema unamfahamu vizuri.
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

....ilikuwa hivi, mara baada ya kuachana naye, na wewe kuamua kwenda kwa dada yako, yeye aliendelea kupambana na kuamua kuipita njia iliyomfikisha hapo unapopashangaa.
 
Kwakweli pengine hili swali wamekuwa wakijiuliza watu wengi sana.

Yani mtu ana jiita mchungaji ana kosa hekima,busara,utulivu kiasi kile?

Kila anapochangia msigwa hasa bungeni lazima vurugu,vijembe au matusi yazuke bungeni.

Msigwa amekuwa akiharibu mijadala mingi bungeni kwa kuleta matusi na maneno ya kuudhi hata pasipo takiwa.

Msigwa amekuwa chanzo cha mijadala mingi bungeni kuwa ya kivyama badala ya kitaifa kama inavyotakiwa.

Msigwa kama angesomea kweli theologia asingekuwa hivyo kila mtu anajua fika wachungaji wakoje.

Msigwa uchungaji alijitunuku mwenyewe tuu na wala hajasomea.

Msigwa ni mmoja ya wabunge mizigo chadema,yeye anachojua ni kuropoka tuu na kusababisha vurugu.

Msigwa si mchungaji bali ni mchanganyaji.
 
nawe weka elimu yako ya shunguli hii uliipata wapi?
mzee-wa-kazi-chris-lukosi-akiwajibika.jpg

Kubeba "ndwika" hakuhitaji elimu mkuu. Huyu njegele hajitambui ndo maana hadi leo katika umri huo analala sebuleni kwa mume wa dada yake.
 
Hapa ndipo mnaponishangaza wana Jf. Watu mnajaa mapovu ghafla huwa mnakula sabuni? Swali limeulizwa jibu swali usitukane au kubeza. Yeye kwa kuwa anamfahamu ndio maana anauliza kama kuna mtu ana taarifa tofauti na alizo nazo. Hata baada ya msg hii utaona wengine watakurupuka na matusi. Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri na jinsi unavyoweza au usivyoweza kutumia hoja kushawishi wenzako kukuelewa zaidi ya kutumia matusi au kejeli.:A S-baby:
 
Lukosi unahutaji maombi badi kifafa kinakuamdama...hujaachaa kuanguka
 
Last edited by a moderator:
lukosi si bure utakua unatatizo la kushare nguo za ndani na dada zako na huu ni ugonjwa wa kimbea umbea unakua na tabia za kike za kufuatilia maisha binafsi ya wanaume wenzio
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Kabla hujaleta thread ulikuwa umedumbukia kwenye pipa la ulanzi?
 
Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza nini

Sasa kama campaign zako ndio hizi za kumchafua mh.msigwa basi imekula kwako.
Mwizi wa rambi rambi za Mrs mwangosi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom