msichana ninaye mpenda

Habari Mkuu?
Nisikize me,Achana naye mapenzi hayalazimishwi na hayana mipaka wala formula,huyo dada achana nae kabisa azawaiz utashikishwa mapembe wenzako wanakamua tu!!! Yani Eng Mzima unashindwa kufikiri jambo dogo kama hilo? Umepitia CoET Kweli wewe? ACHANA NAE HUYO MTOTO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom