Mshindi wa Miss Chitchat mwezi october huyu hapa

YNNAH bana! Unampa hongera mtu anayelia! Hicho kilio ninawasiwasi kama sio amechakachua umri, itakuwa ameficha watoto!

We Filipo,
cna mtoto hata mmoja,
halafu hakuna uchakachuaji.
Maana nyie ndio mlikuwa majaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom