Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

Maisha ya hatari sana haya.... Kimsingi unatakiwa mshahara ukukute na pesa za kuishi vizuri mwezi ujao wote. Yaani akaunti yako iwe na akiba kutosha mshahara wa mwezi wako mmoja, so mishahara iwe inagongana.

Bongo kugonganisha wanawake/wanaume mnaweza, ila kugonganisha mishahara hamuwezi 🤣🤣🤣🤣
 
Maisha ya hatari sana haya.... Kimsingi unatakiwa mshahara ukukute na pesa za kuishi vizuri mwezi ujao wote. Yaani akaunti yako iwe na akiba kutosha mshahara wa mwezi wako mmoja, so mishahara iwe inagongana.

Bongo kugonganisha wanawake/wanaume mnaweza, ila kugonganisha mishahara hamuwezi
Ha ha ha ha!
 
Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.

Tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
Wenye nyumba yaani mnakaba balaa. Mnafuatilia hadi huku. Asubuhi umeniuliza nimekuambia tusubiri Jumatatu. Wapangaji tunakoma mbona
 
Master: Mishahara itachelewa hivyo itaingia J3.

Slave: Tutaishije mpaka hiyo J3
 
Back
Top Bottom