Mshahara wa mwalimu ni kias gan?

IHANDA

Member
Jun 28, 2012
62
15
Naomba kujua mshahara wa mwalimu kuanzia ngaz ya cheti, diploma na degree ni kiasi gani? na kuna makato gani mpaka takehome
 
unataka kufunguwa shule nn mkuu. uweze kujipanga kwaajiri ya wafanyakazi wako nn?. sorry maana umetaja ngazi zote
 
wA CHETI NI 1,000,000/- DIPLOMA 1,500,000/- DEGREE 2,300,000/- KASOMEE UALIMU MISHAHARA YAO NI SAFI SANA.
 
kama huna jibu la kumjibu m2 ni bora ukawa kimya, jamaa kauliza swali wewe unaanza kumziaki, c vzr, tutumie busara, km hujaelewa sehemu uliza kwa busara, we uliefanya research majibu yako yapo wapi? Inaonesha hata wewe hujui methods of getting data in researches. Kwani apo alicho fanya yeye ni nini?
 
Back
Top Bottom