kweliiihere are funny swahili sayings,hapa naona wahenga were in merry moods.
-masikini akipata ****** hulia mbwataaaaa!
-ukiiga tembo kunya utapasuka msaba!
Chedi ni kugosha havae!Kudua na kugosha chedi nini?
ukimpiga teke Chura unampunguziwa safari.
Pesa huna,
Nguvu huna,
Hata mkwara!?
Chedi ni kugosha havae!