msemo mpya

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
Ukitaka kuuza kitu uza kwa kulingana na ubora wa kitu,usiuze kwa bei ya kumaliza shida zako.
 
Hii si kweli, bado unaweza ukalazimishwa kuuza kitu kwa bei iliyopo sokoni, utafanyaje?
 
Hii si kweli, bado unaweza ukalazimishwa kuuza kitu kwa bei iliyopo sokoni, utafanyaje?
Azikiwe.
Alichosema LadtSwa ni kuwa Ubora wa Kitu/Bidhaa ndio uwe kigezo cha kupangia Bei. Isiwe una tatizo la laki tano hivyo chochote ulichonacho ukaamua kukiuza kwa laki hizo japo kuwa unajua kuwa ubora wake kithamani haulingani na bei uliopanga.Uwezekano mkubwa ni kuwa utapoteza wakati. Ni kweli unaweza ukalazimika kuuza kwa bei ya soko na hiyo huenda pande zote, inaweza kupanda au kushuka dhid ya bei uliyopanga.(Na Masoko mengi huzingatia ubora wa bidhaa).
 
Back
Top Bottom