Msanii shetta amepata ajali ya gari

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,633
559
Msanii wa bongofleva Shetta
amepata ajali ya gari Minjingu
akielekea Babati, limepinduka
baada ya kukwepa Punda,
amepata majeraha, anapelekwa
hospitali.

#Kutoka page ya millard ayo
 
Back
Top Bottom