Msafara wa raisi ukiwa na ambulance maana yake nini?

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Naomba kupata majibu tafadhali, maana siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia msafara wa mwenye-kaya ukiwa na ambulance kila aendapo. Watu tunajiuliza sana kwani Huu utamaduni mpya..mmmh..!
 
Wewe unauliza swali gani hapa? Kwani hujui ambulance kazi yake ni nini? Kama unajua basi majibu unayo. Na kama hujui sema upewe maelezo.
 
Kwani wewe haujui kwamba afya ya mkuu wa kaya wako inasumbua,akianguka kafla kwenye gari unafikiri nani atampa 1st aid.
 
Maana yake hali ya kiafya ya mkuu wako wa kaya ni choka mbaya!!
 
Kwani wewe haujui kwamba afya ya mkuu wa kaya wako inasumbua,akianguka kafla kwenye gari unafikiri nani atampa 1st aid.

Nitajuaje ndugu yangu??? Sijawahi kusikia popote kutoka serikalini na madaktari wake walituthibitishia kuwa haumwi, sasa tunaishi kwa tetesi?. Na hili la ambulance linazidi kutuumiza vichwa kwa sababu inaonekana kwamba hizo tetesi kama ni kweli, basi tatizo ni kubwa zaidi ya sukari
 
Mungu amsaidie na kumponya maana pa1 na ambulance bado maana yanaweza kuwa noma tu.
 
source plzeeeeeee.....otherwize photo plzeeeee,otherwiz habari yako batili
 
Objection,
Binafsi nimeshashuhudia akitokea bagamoyo, ambulance ni ya pili toka mwisho kabla ya gari ya MKUU WA MSAFARA. Huwezi kuupiga picha msafara wa mkulu
 
anayedai source aende kumuuliza mnikulu au anayepanga misafara, ila kwa sasa ni compulsory lazima iwepo, anyway no further comments.
 
Objection,
Binafsi nimeshashuhudia akitokea bagamoyo, ambulance ni ya pili toka mwisho kabla ya gari ya MKUU WA MSAFARA. Huwezi kuupiga picha msafara wa mkulu
Kwani hairuhusiwi kupiga picha msafara wa mkwere....!?
 
Wewe unauliza swali gani hapa? Kwani hujui ambulance kazi yake ni nini? Kama unajua basi majibu unayo. Na kama hujui sema upewe maelezo.

Na wewe kwa nini usiseme badala yake unazungushazungusha tu. Ukweli ni kwamba mkwere ni 'mgonjwa' tena haswa. Anaweza kucollapse muda wowote. Kinga yake ipo down sana.
 
Naomba kupata majibu tafadhali, maana siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia msafara wa mwenye-kaya ukiwa na ambulance kila aendapo. Watu tunajiuliza sana kwani Huu utamaduni mpya..mmmh..!
Mkuu jaribu kujikumbusha kidogo juu ya shida za kuanguka za mwenye msafara , pamoja na kuwa ameongezewa ulinzi usioonekana na Mhe. Yahya Hussein, ni vyema watu makini lazima wachukue tahadhari , maana pale ulinzi wa Shekhe Yahya uki fail , hapo ndipo matumizi ya hiyo ambulance utakapoyaona .
 
Back
Top Bottom