Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu na Polisi Musoma Mjini

Mkusanyiko au maandamano yoyote bila kibali ni haramu.kwani angetua kimya kimya na kwenda kulala nani angejua?pia hawezi jua je kama kuna watu wana nia mbaya nae,,Tatizo lowassa anapenda sifa za kijinga na kuonewa huruma.
 
Hakuna mtu mwenye Afya njema na Muda ataacha kwenda kushuhudia Mgonjwa Mahututi ambae kaacha kupigania Afya yake kwenye Viunga vya hospitali badala yake yuko bize anachechemea kwny Majukwaa ya kisiasa eti anataka Urais ili afute Rushwa, Umaskini, foleni Mijini ndani ya siku mia moja, hata mie nilienda kumshuhudia Viwanja vya Kawe nikaamini kwa Macho yangu ya Mgonjwa mahututi mwenye Ujasiri wa kusema anataka kupeleka mchaka mchaka watu wazima!

Kadri mnavyozidi kusema Lowassa ni mgonjwa, ndiyo mnazidi kutufanya tumpende zaidi. Tutamchagua mgonjwa Lowassa maana ndiye anajua taabu na mateso yetu wagonjwa. Hao "wazima", hawajali, hata kama dawa haziko hospitali!
 
leo tarehe 10/10/2015 ifikapo saa 3:05 usiku usikose kuangalia kipindi cha ajenda 2015 na jaji joseph sinde warioba!

Kupitia chanel ya startv!!!!

we malaya una post post nn upumbavu wako huku? Nani kakuambia ana shida ya kumwangalia warioba ungetuambia lowasa tungekuona una akili ila kwa hili we mbulula kabisa.
 
Hiyo channel ipo likizo nyumbani kwangu.
Ni marufuku kwa mtu yeyote kwangu kuifungua.
Chanel 10 tayari ina yellow card!
Leo tarehe 10/10/2015 ifikapo Saa 3:05 usiku usikose kuangalia kipindi cha AJENDA 2015 na Jaji Joseph Sinde Warioba!

Kupitia Chanel ya Startv!!!!
 
mkusanyiko au maandamano yoyote bila kibali ni haramu.kwani angetua kimya kimya na kwenda kulala nani angejua?pia hawezi jua je kama kuna watu wana nia mbaya nae,,tatizo lowassa anapenda sifa za kijinga na kuonewa huruma.

we kapombe ukapimwe akili kwani aliwapigia wananchi cm kuwa anakuja? Na pia hawajafanya maandamano ni mapokezi na mahaba ya wananchi kwa rais wao, ila policcm na roho zao mbaya wajue kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
Hata Mbowe alimtahadharisha. Mabomu ya machozi ni sehemu ya shamrashamra kwenye vyama vya upinzani. Ni sawa na fataki za mkesha wa mwaka mpya.
 
Hakuna mtu mwenye Afya njema na Muda ataacha kwenda kushuhudia Mgonjwa Mahututi ambae kaacha kupigania Afya yake kwenye Viunga vya hospitali badala yake yuko bize anachechemea kwny Majukwaa ya kisiasa eti anataka Urais ili afute Rushwa, Umaskini, foleni Mijini ndani ya siku mia moja, hata mie nilienda kumshuhudia Viwanja vya Kawe nikaamini kwa Macho yangu ya Mgonjwa mahututi mwenye Ujasiri wa kusema anataka kupeleka mchaka mchaka watu wazima!

Huyo ndiye Rais wako, hata kama anaumwa. Kama hutaki kajinyonge mapemaaaaaaaa. Imekula kwako hiyo.
 
mihayo namchukia kuliko mdudu nikikuta anapigana na nyoka nitamsaidia nyoka kumuuma
 
Hakuna mtu mwenye Afya njema na Muda ataacha kwenda kushuhudia Mgonjwa Mahututi ambae kaacha kupigania Afya yake kwenye Viunga vya hospitali badala yake yuko bize anachechemea kwny Majukwaa ya kisiasa eti anataka Urais ili afute Rushwa, Umaskini, foleni Mijini ndani ya siku mia moja, hata mie nilienda kumshuhudia Viwanja vya Kawe nikaamini kwa Macho yangu ya Mgonjwa mahututi mwenye Ujasiri wa kusema anataka kupeleka mchaka mchaka watu wazima!

Bila shaka coment hii imeandikwa na fyatu. Mwehu , mwehu au mwnda wazimu
 
attachment.php
attachment.php
 
Back
Top Bottom