Msafara wa Kikwete Brazil Kwenye Mkutano wa OGP

chibingo

Member
Feb 7, 2009
46
8
Jamani kwa wanaofutilia ziara ya Kikwete Brazil kwenye Mkutano wa OGP hivi una wajumbe wangapi? hesabu Per Diem zao, hotel, etc, Na je nchi kama Marekaniimepeleka wajumbe wangapi katika Mkutano huo?
Na je mkutano huo una Tija kwetu ktk hali mbaya tuliyonayo kiuchumi? Hivi kweli ytuna Open Governance Tanzania? Kama kweli Open Governance ingekuwepo kusingekuwa na wizi wa Mabilioni ktk sekta mbalimbali, watu wangekuwa informed kwa kila jambo lenye maslahi kitaifa na wangetoa mawazo yao.
 
kwa uchache wao tu nakupa hesabu ya uhakika:- Jk, mama salma, adc, protocol officer, michuzi, anna nkinda(photographer), gerson msigwa(television), mulamula, susan mlawi, mpishi, daktari, mpiga pasi, bodyguards 8, aloyce masanja, waziri wa zanzibar, naibu waziri mambo ya nje. hawa niliowakumbuka ni 23 tayari. kwa anayeweza aongeze na orodha ya watu wengine (anaokumbuka) ambao ni LAZIMA wawepo kwenye msafara wa JK.
 
Usisahau advance party pia.
 
hii kitu gani tena kwenye msafara?

advance party ni wale wanaotangulia kwenye nchi husika kuweka mambo sawa. pia kuna wanaobakia nyuma kwa siku kadhaa ili ku-clear madeni yote. kwenye orodha nilimsahau mwandishi wa rais pamoja na premi kibanga. kazi kwetu watanzania. jtatu anakwenda kumzika bingu wa mutharika
 
Tangu aingie madarakani Kikwete hufanya siri wale anaowasiliana nao kutokanana ukaribu wao kwake.Kimsingi ni rais wa ajabu ambaye anaficha waliomo kwenye ujumbe anaoandamana nao.
 
Back
Top Bottom