Msaada

Brother P

Member
Mar 23, 2011
10
1
Habari jamani.ninapenda kufahamu kuhusu gharama za kuanzisha,na kundesha mradi wa kutengeneza matofali ya mchanga.pia gharama za mashine zinazoweza kutumika na mahali ambapo zinauzwa.kwa yeyote anaxefahamu naomba anijulishe.
 
Bure, labda ukitaka mchanga na simenti ndio itabidi uwe na gharama, mfuko wa simenti ukienda kwa Slaa atakupa, kwa mbinu zake, kwa shillingi mia tano kila mfuko wa kilo hamsini (amini usiamini).

Kikwete, matofali ya mchanga ni bure na atakupa tuzo kwani hayajawahi kutokea matofali ya mchanga bila simenti au udongo au compound yoyote ya kuya "bond".

Mimi niko tayari kuwekeza millioni 100 kwa matofali ya mchanga, usinizungushie kiswahil tafadhali.
 
Akhsante sana bwana faizafox.lakini ninatumaini umeelewa ninachomaanisha.akhsante kwa jibu lako zuri
 
Bure, labda ukitaka mchanga na simenti ndio itabidi uwe na gharama, mfuko wa simenti ukienda kwa Slaa atakupa, kwa mbinu zake, kwa shillingi mia tano kila mfuko wa kilo hamsini (amini usiamini).

Kikwete, matofali ya mchanga ni bure na atakupa tuzo kwani hayajawahi kutokea matofali ya mchanga bila simenti au udongo au compound yoyote ya kuya "bond".

Mimi niko tayari kuwekeza millioni 100 kwa matofali ya mchanga, usinizungushie kiswahil tafadhali.

Mh....! kweli hapa kazi ipo. Can't you be positive walau hata mara moja moja and advise in a constructive way?
 
Back
Top Bottom