Msaada wenu tafadhali; huwa kuna kipindi napoteza msisimko

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Habari wa ndugu! Ki ufupi bado sijaoa,nipo kwenye process! Kutokana na hali hii, huwa naweza kukaa mda mrefu (even a month) bila kushiriki tendo! Katika kipindi hiki, huwa kuna wakati nakuwa na msisimko mkali na huwa uume unasimama imara tena mara kwa mara hasa usiku! Kinacho nitatiza, ni kwamba ikitokea kwa kipindi hicho cha "high sensitivity" sijashiriki tendo, basi kipindi kinachofuata huwa mpaka najishtukia. Yaani inapotokea nimepata hisia za mapenzi, uume husimama kiulegevu sana kiasi kwamba hata nikipata mwanamke, siwezi kufanya tendo kikamilifu! Niko njia panda hasa nikizingatia kuwa nilipokuwa shule, nilishiriki punyeto kwa mda mrefu kidogo! Je, ni hali ya kawaida ya mwili au kuna tatizo!? Msaada wenu tafadhali!
 
Hahaha, Pole ndugu yangu. Usiwe na wasiwasi ni mambo ya kawaida kwa wanaume itachukua mda kidogo kurudi ktk hali yako ya kawaida, Punguza "kutetemeka" (besheni) na kama una demu wako usione aibu kumwambia tatizo lako ,hio itaku-boost confidence yako,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Uncle Jei Jei kumbe unazini wakati tayari una mchumba. kweli miye sijaipenda rafiki nkwambbie. ok sidhani kama ni ugonjwa manake inaonekana bado libido ipo. pia usihamalike sana ukashindwa kazi just relax rafiki.

hivi kumbe puyeto imetumiwa sana na wavulana mmh......sikujua aisee lol! ngoja nianze kuchunguza vidume vyangu huku shule na hivi ni vya boarding nitajua hali ikoje.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa mlionitia moyo! Lakin nashindwa kuelewa, je ni body mechanism, au kuna upungufu wa homone zozote!?
 
Uncle Jei Jei kumbe unazini wakati tayari una mchumba. kweli miye sijaipenda rafiki nkwambbie. ok sidhani kama ni ugonjwa manake inaonekana bado libido ipo. pia usihamalike sana ukashindwa kazi just relax rafiki.

hivi kumbe puyeto imetumiwa sana na wavulana mmh......sikujua aisee lol! ngoja nianze kuchunguza vidume vyangu huku shule na hivi ni vya boarding nitajua hali ikoje.
Mkuu gfsonwin umemjibu vizuri sana ana haraka ya nini wakati bado hajaowa? sasa wewe Mwalimu utaweza kuwachunguza Wanafunzi wako wanapiga Punyeto?

Mkuu ngoja Uowe ndio uje utuambie kuwa Jogoo wako hawiki tutajuwa Dawa gani tukupe kwa hivi sasa achana na kupiga Punyeto ukipiga punyeto itakuathiri wakati wa kuowa utashindwa kumfikisha mke wako kileleni kuwa muangalifu kwa hivi saa huna matatizo kama alivyosema mkuu gfsonwin jaribu kupumzika Mkuu Uncle Jei Jei Mkuu sweetlady nimesha mjibu na mkuu gfsonwin amesha mjibu
 
Haya daktari wetu wa jf .....hapa nadhani Uncle Jei Jei atakuwa amekueleweni vema!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gfsonwin umemjibu vizuri sana ana haraka ya nini wakati bado hajaowa? sasa wewe Mwalimu utaweza kuwachunguza Wanafunzi wako wanapiga Punyeto?

Mkuu ngoja Uowe ndio uje utuambie kuwa Jogoo wako hawiki tutajuwa Dawa gani tukupe kwa hivi sasa achana na kupiga Punyeto ukipiga punyeto itakuathiri wakati wa kuowa utashindwa kumfikisha mke wako kileleni kuwa muangalifu kwa hivi saa huna matatizo kama alivyosema mkuu gfsonwin jaribu kupumzika Mkuu Uncle Jei Jei Mkuu sweetlady nimesha mjibu na mkuu gfsonwin amesha mjibu
MziziMkavu unafikiri miye litanipa shida nikitaka? hawa makaka wadogo hawa miye huwa nawaitaga wanangu na kuna wengine is like nimewazaa tu manake ningeanza mchezo wa matusi mapema ningekuwa na watoto wa umri wao so hawanipi shida hata kidogo ili kujua kama wanapiga punyeto au la.

nashukuru sana kwa kumuelewesha Uncle Jei Jei.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom