Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
Habari wana JF?

Msaada wenu tafadhari.

Nina mchumba wangu kwa muda wa miaka miwili sasa hatu ishi pamoja isipokuwa tumekuwa tukishirikiana katika mambo mbalimbali likiwemo suala lamapenzi ambalo ndilo haswa lina tuvuruga sasa, mwenza wangu alikuwa ana hitaji mtoto baada ya kufanya ngono salama kwa muda mrefu kiukweli nili mueleza tusubiri kwanza lakini alisema yupo tayari tuachane kwa msimamo huo,kiukweli nami sikupenda kumpoteza tulianz akwenda kavukavu mpaka aka nasa ujauzito na sasa una miezi sita .

Pindi mimba ilipo kuwa na miezi mitatu nilipata dharura ya miezi takribani miwili na nusu nje ya mkoa na nilipo kuwa huko alikuwa ana nipigia simu mara kwa mara kuwa nirudi huku akidai kuwa amenimiss nami nilikatiza mambo yangu nika rudi baada ya kurudi tu na kuja gheto alidai tuishi wote kutokana na hali halisi ya ujauzito ,nilikubali, baada ya kuja na kukaa siku mbili tu vituko vika anza .

Ananigombeza kama mtoto mdogo ,matusi kila mara ,anatishia kutoa mimba kila kukicha.

Sikujingine halali ndani anadai nina nuka pia ananitamkia hani pendi naile mimba nisiiwaze kabisa akidai sina changu pale mbaya zaidi kinacho niuma ametokea kumpenda kaka mmoja anaitwa markusi mpangaji mwenzangu yaani kila muda yupo naye tena anathubutu hata kushinda kwake siku nzima na sasa ana week moja haja lala kwangu zaidi huko nje ambako anadai ni kwamashoga zake

Hali hii imenichosha nime jaribu kuomba ushauri kwa madaktari wengi wananiambia ni ujauzito tu siku moja yataisha yote lakini sasa ni too much .

Tena kuna muda nikiondoka ananiambia "USIRUDI HAPA BAKI HUKOHUKO KWA MALAYA ZAKO NAMI HAPA NALETA WA KWANGU" sasa mie uzalendo unataka kunishinda msaada tafadhari ni mbwage au niendelee kukoma maana nimesha anza kushawishika nje sema sija amua kutekeleza adhima ya usaliti bado.
 
hahahahahaaaa! Marcus km uko hum aisee jamaa anakulalamikia,jitenge na dem wake,kwenye mada,inawezekana ikawa mimba au maksudi,analala nje wiki?aisee!au analala na marcusi?mvumilie au mrudishe kwao akatulie,akisha jifungua akakuletea toto,kamchukue.
 
duh! pole sana jmn! ingw wanawake sa ingn wanazid jmn! hyo mimba ilinuizwa ikuchukie nahc! kaa nae mweleze tu nahc ataelewa bana!
 
mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.
 
Mimba zina vituko sawa ila vikizidi ni mno!
Na amekukuta unaweza kuvumilia.
Akifanya ujinga next time mchape kofi moja kumkumbusha mtoto tumboni kuwa wewe ndio baba yake,mama akili itamkaa sawa.
 
Huyo kazidi,kwani mtoto tumboni ndo anamfundisha matusi!huyo anatumia mimba kama sababu ya kukuumiza,hizo za kupendelea kitu au mtu ni kawaida ila ina mipaka!kuwa mkali mwanaume,kina mama tuache kutumia watoto walio tumboni kama kinga ili tufanye ujinga ni laana!yale ya kuvumilia tufanye na tuyatamaniyo iwe kwa mipaka!MIMBA HAIFUNDISHI MTU KUTUKANA!NI TABIA YAKE HUYO!
 
Wala sitakubaliana na mtu yoyote atayedai kuwa hiivyo ni vituko vya mimba...

Huyo bi mkubwa anayo yake tu, ni kweli wanawake wakiwa wajawazito huwa na mabadiliko ya kitabia lakini si kwa kiasi kilichopitiliza kama hicho...

Ushauri wangu.
Tafuta kanisa haraka mkatubu hiyo dhambi ya uasherati, tafuta mahari lipia ili binti awe wako jumla.
 
Aisee napata hasira wamama tunavyozalilishwa na hawa wasiojua thamani ya mtoto tumboni.ninajivunia kuwa mama na mara zote napokua mjamzito naifurahia hiyo hali,naweza kuwa mchovu,hasira za haraka lakini si kutukana au kulala nje!aibu sana!
 
Habari wana jf?
Msaada wenu tafadhari.
Nina mchumba wangu kwa muda wa miaka miwili sasa hatu ishi pamoja isipokuwa tumekuwa tukishirikiana katika mambo mbalimbali likiwemo suala lamapenzi ambalo ndilo haswa lina tuvuruga sasa,, mwenza wangu alikuwa ana hitaji mtoto baada ya kufanya ngono salama kwa muda mrefu kiukweli nili mueleza tusubiri kwanza lakini alisema yupo tayari tuachane kwa msimamo huo,kiukweli nami sikupenda kumpoteza tulianz akwenda kavukavu mpaka aka nasa ujauzito na sasa una miezi sita ,,pindi mimbailipo kuwa na miezi mitatu nilipata dharura ya miezi takribani miwili na nusu nje ya mkoa na nilipo kuwa huko alikuwa ana nipigia cm mara kwa mara kuwa nirudi huku akidai kuwa amenimiss nami nilikatiza mambo yangu nika rudi baada ya kurudi tu na kuja gheto alidai tuishi wote kutokana na hali halisi ya ujauzito ,nilikubali, baada ya kuja na kukaa siku mbili tu vituko vika anza ..ananigombeza kama mtoto mdogo ,matusi kila mara ,anatishia kutoa mimba kila kukicha.,sikujingine halali ndani anadai nina nuka pia ananitamkia hani pendi naile mimba nisiiwaze kabisa akidai sina changu pale mbaya zaidi kinacho niuma ametokea kumpenda kaka mmoja anaitwa markusi mpangaji mwenzangu yaani kila muda yupo naye tena anathubutu hata kushind a kwake siku nzima na sasa ana week moja haja lala kwangu zaidi huko nje ambako anadai ni kwamashoga zake ..hali hii imenichosha nime jaribu kuomba ushauri kwa madaktari wengi wananiambia ni ujauzito tu siku moja yataisha yote lakini sasa ni too much .tena kuna muda nikiondoka ananiambia "USIRUDI HAPA BAKI HUKOHUKO KWA MALAYA ZAKO NAMI HAPA NALETA WA KWANGU" sasa mie uzalendo unataka kunishinda msaada tafadhari ni mbwage au niendelee kukoma maana nimesha anza kushawishika nje sema sija amua kutekeleza adhima ya usaliti bado.


.....binafsi, hili ningependa kusoma majibu ya soulmate @mwanajamiione,@ashadii,@nyamayao,et al....

Halafu nifanye comparison kwa dossier za wastahiki @dark city,@asprin,@teamo nk....

Navuta mkeka, maana patamu hapa.


#MosQw!to.
 
mimba zinavituko jamen, nilikuwa na rum mate wangu first year alikuwa mjamzito, dada alinichukia hadi nikataman kuhama rum. lakin alipojifungua tukawa mabest wakubwa hadi leo hii.

sijui kwa nini nilikumiss?
 
Watu wengine bhana wanachukulia advantage ya mimba kufanya yao...mimba hiyo mimba gani tena mengine too much loh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii mimba kiboko aisee! Kali zaidi kulala nje week? Halafu ukiondoka anakuonea wivu? Makubwa haya? Muite mwambie akithubutu kukutusi, na kwenda kwa marcus mwambie huo utakuwa ndo mwisho wa mahsiano yenu! Asikugeuze ----- ww watu tumelea mimba na kushuhudia mimba nyingi lkn hakuna km hii! Sipati picha
 
Back
Top Bottom