Msaada wakuu

kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,512
2,730
Heshima mbele wakuu!!!
Mimi ni mwenyeji wa moshi ila sasa hivi nipo dodoma kikazi kama mwaka pili hivi,tatizo langu ni kuwa siku za hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana mwilini nikitembea kwenye jua,imefikia hatua nikianza kula chakula cha moto au chenye pilipili naisikia iyo hali au nikifua lakini kubwa zaidi nikitembea kwenye jua,naomba mnisaidie wakuu,ili ni tatizo gani?na nichukue hatua gani?nifanyeje kwasababu i can feel it as a serious problem now.
 
Duh pole mkuu nilikua na tatizo kama lako kipindi nilivo hamia tu dar ila nilikuja gundua ni kutokana na kubadilisha mazingira sababu nilipokuwa natoka ni baridi sana na dar nijoto.kingine kama una fuga nywele unyoe kwani mi nilifanya hivyo sababu kichwa kilikua kinawasha sana nikaamua kupiga shortcutting na hadi leo ndio style yangu.
Mwisho kuna nguo flani hivi kama zile zenye material ya plastics hutakiwi kuvaa kabisa,vaa nguo nyepesi na ambazo zinapitisha hewa vizuri na pia unatakiwa kunywa maji mengi kadiri uwezavyo.
AMANI YA BWANA IWE NAWE...
 
naomba kama unaonga usikae muda mrefu sana bafuni i mean usipende kuonga kwa muda mrefu. kuhusu kutembea juani kweli hapo naomba jitahidi sana nguo zako ikiwezekana vaa mara moja tu i mean kwa siku moja utapata nafuu
 
mkuu Mandingo nashukuru sana kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi ndugu yng.
 
Last edited by a moderator:
naomba kama unaonga usikae muda mrefu sana bafuni i mean usipende kuonga kwa muda mrefu. kuhusu kutembea juani kweli hapo naomba jitahidi sana nguo zako ikiwezekana vaa mara moja tu i mean kwa siku moja utapata nafuu

thanks alot kwa ushauri
 
Back
Top Bottom