Msaada wa tatizo hili kwenye Ajira Portal

Letibaby

Member
Aug 23, 2018
29
9
Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari
 
Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari
Kama una paste email hakikisha mwishoni Hakuna nafasi na password vile vile.
 
Hii systems yao bado ni changamoto, kila niki refresh inaleta picha za watu wengine, na details zao, nime upload kila kitu, ila hakionekani toka jana mpaka sasa.
 
Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa.

Naomba msaada tafadhari
Umeshacreate account ndio inakataa kulogin??
 
Nenda kwenye e-mail yako verify hyo akaunti ya ajira portal then ndio uje u-login
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom