Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Halafu kuna mapumbavu hapo juu yanakwambia sheria ni miezi3 yamekaa yamekadanganyana kwenye kahawa.
Halafu yanajifanya majuaji kweli. Sheria haijataja muda specific nimewaambia waniletee sheria inayosema miezi3 unampa MPANGAJI naona kimya
kama unadai kodi, lazima utoe notisi ya kipindi si chini ya siku 30, sheria ya ardhi inasema hivyo kipengele cha 104
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu

Kwa sisi wajuzi na wabobezi, ni rahisi kusamehe kodi ya miezi 3 aende zake kuliko kushika mali yake, unaweza kuja kupata hasara nyingi, zaidi
 
Huna unachojua nenda madafu serikali za mtaa pale, nenda yombo, temeke br ya mwinyi uone vitu vya wapangaji kama wewe maskini maskini. Hawana uwezo wanakimbilia kupanga unajua nini mbwa mbwa wewe kaa kwenu upumzike
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
Anza kwa kukata huduma ya umeme kwenye chumba/vyumba alivyopangisha.
Wazo zuri. Kuna land lord mmoja mwenye apartments zake yeye alichofanya kwenye kila mlango wa kuingia ndani ambao ni wa chuma (security door) kaweka kitasa cha kawaida ambacho mpangaji anatumia kufungua na kuingia ndani mwake na pia juu kidogo ya hicho kitasa kaweka vichuma viwili (kimoja kwenye fremu na kingine kwenye mlango wenyewe). Kichuma kimoja kimetobolewa size ya kuingiza kufuli na chuma kingine hakijatobolewa. Mpango wake ni kwamba ikitokea mpangaji amekuwa msumbufu kwenye kulipa kodi yeye atamwita fundi welding na kutoboa kile chuma cha pili na kuweka kufuli na kukaa na funguo zake pasipo kugusa kile kitasa kinachofungwa na mpangaji ili kuepusha kesi ya upotevu wa mali ya mpangaji. Na hayo pia udai kwamba atayafanya mbele ya uongozi wa serikali ya mtaa. Mpangaji akishalipa ndipo atamfungulia kufuli.
 
Umeandikaa kama Mimi hii issue iliwai kumkuta mpangaji wa mzee wangu....

Sio Siri alitusumbua sana mpk mzee akaogopa jamaa maana alikua kama DUDE wa bongo dar es salaam.....

Anatangaza nyumba kauziwa jamaa alikua kada wa CCM

Kumtolea vyombo nje mpangaji ni process na Ina procedure zake.......

Wasalaam
Unaweza kutuwekea hapa hiyo process na procedure ya kumtolea vyombo nje?
 
mimi kuna jamaa nilishuhudia katolewa vitu nje na land lord akagoma kuvivhukua na akakimbilia polisi kuwa wamevunja nyumba yake(mjumbe na landlord)
na ndani kulikuwa na million 2 cash

Wakaitwa mahakamani na Akaulizwa landlord kuwa nani kakupa ruhusa kuvunja bila kibali akasema mjumbe alikuwep0

mjumbe akaulizwa akadai waliandika kila kitu.

MAHAKAMA IKAAWAMBIA HAWANA KIBALI CHA KUVUNJA NYUMBA YA JAMAA BILA KIBALI CHA MAHAKAMA YYTE TANZANIA.

Walichangishana na kulipa hiyo 2million na mahakama ikaamua jamaa akae mwezi mmoja bure.


huyu mtoa uzi anakuja kusema eti 30,000 yake avunje vmlango, usikute kaona Flat screen ukutani inamtoa tamaaa otherwise

UTAKUJA KULIAAAA
Ina maana ile kauli maarufu ya kisheria isemayo mahakama inatakiwa "ku-prove beyond reasonable doubt" haikuzingatiwa katika maeneo haya mawili?
1. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mpangaji alikuwa kaacha ndani kiasi hicho cha pesa milioni mbili.
2. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mwenye nyumba na mjumbe walichukua kiasi hicho cha pesa kutoka chumbani kwa mpangaji.
Ni ajabu sana.
 
Ina maana ile kauli maarufu ya kisheria isemayo mahakama inatakiwa "ku-prove beyond reasonable doubt" haikuzingatiwa katika maeneo haya mawili?
1. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mpangaji alikuwa kaacha ndani kiasi hicho cha pesa milioni mbili.
2. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mwenye nyumba na mjumbe walichukua kiasi hicho cha pesa kutoka chumbani kwa mpangaji.
Ni ajabu sana.
Mkuu,
Samahani ningependa kujua umri wako..
 
Kwenye hilo swali umri wangu ni muhimu? Ok umri ni 25 yrs. Tiririka sasa.
Kumwondoa mpangaji msumbufu Kama ilivyo elezwa na wengi huku juu ukisoma comments
1. Cha kwanza unatakiwa kumpa NOTICE ya muda Fulani awe ameondoka
NB.
Muda wa notice unaweza kufika ama kuisha na asiondoke pia na ukashindwa kumtoa kwa mabavu

Sheria ngumu mzee haziendi kimihemko ntaendelea baadae
 
Kumwondoa mpangaji msumbufu Kama ilivyo elezwa na wengi huku juu ukisoma comments
1. Cha kwanza unatakiwa kumpa NOTICE ya muda Fulani awe ameondoka
NB.
Muda wa notice unaweza kufika ama kuisha na asiondoke pia na ukashindwa kumtoa kwa mabavu

Sheria ngumu mzee haziendi kimihemko ntaendelea baadae
Ahsante. Tunasubiri uendelee kutupa mwanga juu ya hili.
 
Kumwondoa mpangaji msumbufu Kama ilivyo elezwa na wengi huku juu ukisoma comments
1. Cha kwanza unatakiwa kumpa NOTICE ya muda Fulani awe ameondoka
NB.
Muda wa notice unaweza kufika ama kuisha na asiondoke pia na ukashindwa kumtoa kwa mabavu

Sheria ngumu mzee haziendi kimihemko ntaendelea baadae
Kuna jirani yangu pia alikuwa anasumbuliwa sana masuala ya kodi na mpangaji wake, yule mpangaji akawa anataka apewe notisi ya miezi 3 akae bure akidai ndiyo sheria inavyosema.
Ikabidi mwenye nyumba aende serikali ya mtaa kumshitaki, hukumu iliyotoka mwenyekiti wa serikali ya mtaa alimwambia hakuna yule mpangaji hakuna notisi ya kukaa bure, kama anataka kukaa hiyo miezi 3 ailipie kodi. Ilibidi jamaa ahame tu bila kupenda.
 
USIITEGEMEE KODI YA MPANGAJI WAKO ILI UISHI, HAKIKISHA UNA KIPATO KINGINE NJE YA HIYO KODI
Daah! Kila tunachoanzisha kiuchumi kitukomboe tunaambiwa tusikitegemee, nimejenga kiapatimenti nile kodi naambiwa nisikitegemee, nimefungua kiduka cha mangi naambiwa hela ya dukani hailiwi, nimenunua kibajaji nimemkabidhi mtu nipate kujikimu naambiwa hela ile hailiwi sasa tufanyeje waungwana kila mradi hela zake haziliwi!
 
Fanya kama wazungu wanavyo fanya
Kabla ya kumpangisha aoneshe bank statement inayoonesha kipato chake ..uridhike kwanza ana kipato kweli au anabangaiza...

Kingine aweke dhamana ya hela ...mfano kuna mikataba unaweka Kodi ya miezi miwili kama dhamana ya kuharibu kitu....ikitokea mnasumbuana unampa notice haraka...
Pesa unamrushia ya dhamana kama hajaharibu kitu au humdai....
Hii kibongobongo sijui kama itafanya kazi
 
Tumia ustaarabu pesa inasumbua Sana ndugu ukiona mtu anakucheleweshea kodi usifikiri ni makusudi Hali ni mbaya Sana huku mahangaikoni.

najua kuwa lazima atakuwa anakufikiria sana kwa kuwa kipao mbele chake au Cha mtu yeyote kwenye maisha haya ni sehemu ya kulaza mbavu.

Jaribu kumsikiliza na kumuelewa miezi 2 sio mingi kabisa kwa sisi watafutaji mpe muda hata Kama atakutoroka muache aende punguza roho mbaya nae hana Kama wewe ambavyo huna unamkomalia.
Kuna wangine ni maksudi tu,just imagine mtu unamdai kodi ya miezi let's say 4 sababu kibao but Kila siku jamaa anaenda kuchafua meza na PISI KALI!!!!????
 
Back
Top Bottom