Janabi hana gift yoyote, ngekewa tu.Muulize Janabee the man "with gifted" hands
Pdf yake imetoka tayari,Fanya unitumie.Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
Hvi kwann Watanzania wengi kwenye Uswahili wa kazi, Cha kwanza kukimbilia ni kutafuta Maswali ???
Hii Mentality inaonyesha wazi, Wengi wa Watanzania Husoma ili kufaulu, ila kile wakichokibeba kichwan, hakipo ,kiasi kwamba wanajitilia shaka wenyewe na hawana uhakika wa wakichokibeba
Muwe mnaacha Ubongo unafanya kazi zake !!!
Utafanya kada zote? tunaweza kuhangaikia muongozo wa Biomedical kumbe wewe ni Nursing.Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
Tulia wewee Semenya wa ukaldayo. Kumbuka hiyo "gifted hands" ndio imetuletea ukomboziJanabi hana gift yoyote, ngekewa tu.
Ubongo wenyewe utafanyaje kazi wakati CCM iko madarakani? Wewe mwenyewe humu unavyomsifia Jiwe Unabaki kushangaa WTF?!Hvi kwann Watanzania wengi kwenye Uswahili wa kazi, Cha kwanza kukimbilia ni kutafuta Maswali ???
Hii Mentality inaonyesha wazi, Wengi wa Watanzania Husoma ili kufaulu, ila kile wakichokibeba kichwan, hakipo ,kiasi kwamba wanajitilia shaka wenyewe na hawana uhakika wa wakichokibeba
Muwe mnaacha Ubongo unafanya kazi zake !!!
Stop that, Carlos The Jackal , haya mambo si mepesi namna hiyo. Kuna moja imefanyika juzi ya madaktari wanawauliza Olympic ilianza mwaka gani na wapi? Can you imagine? Hili swali linahusiana vipi na Medical professionalism?Hvi kwann Watanzania wengi kwenye Uswahili wa kazi, Cha kwanza kukimbilia ni kutafuta Maswali ???
Hii Mentality inaonyesha wazi, Wengi wa Watanzania Husoma ili kufaulu, ila kile wakichokibeba kichwan, hakipo ,kiasi kwamba wanajitilia shaka wenyewe na hawana uhakika wa wakichokibeba
Muwe mnaacha Ubongo unafanya kazi zake !!!
Duuuhh, bora wangeuliza hata Junglar vein ilipoStop that, Carlos The Jackal , haya mambo si mepesi namna hiyo. Kuna moja imefanyika juzi ya madaktari wanawauliza Olympic ilianza mwaka gani na wapi? Can you imagine? Hili swali linahusiana vipi na Medical professionalism?