Msaada wa kutengeneza keki

Uokaji cake kwa mkaa au oven
MAHITAJI::Unga wa ngano(Azam cake baking flour) kilo 1 na nusu,,Baking powder,,Blueband nusu kilo,,Vanilla,,Maziwa fresh litre 1,,Sukari ya kawaida(ya chai) kilo 1,,Icing sugar 1,,Mayai 15,, Na Mafut y alizet
HATUA 01::Changany blueband n sukari ya kawaida kweny bakuri kubwa la plastic na tumia mwiko wa mbao kuvichangany kwa muda kama saa mbil ili sukari ilainike na kusiwe na chembe chemb z sukari zinazo tafunik kweny huo mchanganyiko.lakin simple way ni kutumia kifaa cha kuchanganyia yaan Cake mixer
HATUA 02::Weka mayai 12 kweny bakuri jingine kwa kuyaponda then mix na unga pamoja na baking powder kijiko kimoja cha chakula,, ongez kias kidog cha icing sugar kweny huo mchanganyiko then weka maziwa fresh kikombe kimoja n nusu, pia weka nusu ya kichupa cha vanilla kweny huo mchanganyiko.
NB,ratio ya yai na unga ifuatwe kwan yai moja ni vijiko viwil na nusu vya chakula so kwa mayai 12 weka vijiko 30 tuu
HATUA 03::Hakikisha huo mchanganyiko unatengenez uji ulio mzito kwa ajil y kuoka,, then chemsha mafut y kupikia kwa ajil y kuondoa shombo au harufu mbay then hakikisha mafut yanapoa,,
HATUA 04::Mimina mafuta kweny sufuria au baking dish kavu then weka ule mchanganyiko kweny sufuria au kweny baking dish yenye mafuta kwa ajil y kuoka
HATUA 05::Uokaji kweny oven wek chomb cheny mchanganyiko kweny oven then oka kwa nusu saa,, kweny mkaa weka moto mwing kweny mfuniko then moto kidog kweny jiko then oka kwa dakika 50 had saa 1,, then baada y hapo angalia kam cake tayar kwa kutumia kicu kuchom kweny cake kama kisu kitatoka kinanat kikando kibich then cake itakuw bado na kam kitatoka kikavu bas cake itakuw tayar,,, Then geuza ondoa cake kweny chomb cha kuokea kwa kukifunika hicho chombo juu chini kweny sinia au ungo
 
Upambaji cake n another time tukipat nafas but kun extra ingredients kama Nazi,,Limao,,Vinegar,,Chocolate flour,,Tamarind
 
Back
Top Bottom