Msaada wa kuprint Thread ya Mtaji,10m/=

Status
Not open for further replies.

dmaujanja1

JF-Expert Member
Nov 24, 2008
223
68
Wakubwa habari za leo. Naomba msaada, nahitaji kuprint Thready na Post zake zote za "Mtaji,10m/=" nikiprint moja moja inatoka vibaya je INVISIBLE na wengineo jamvin mnawezakunisaidia kuniwekea hiyo kwenye PDF/ word ili niiprint. Please this dokument ninaihitaji sana.
Slogan yetu The Home of Great Thinkers for 100% umeonekana kwenye hii thready.
 
Last edited:
Mazee nafurahi kuona watu wanafaidika na JF kwa namna moja au nyingine. Kurahisisha matakwa yako yatimizwe kwa haraka, nadhani ungemtumia private msg (PM) Invisible akuwekee kwenye PDF hiyo thread.
 
kaka inatoka vibaya nimejaribu kuedit wapi inatoka kiajabu ajabu.

Unaweza ukacopy post moja moja na ukaiweka kwenye word document, then print huko inatoka vizuri! Ila tu itabidi uwe mvumilivu kidogo kucopy post moja moja....!

Alternatively mPM invisible atakusaidia kukupa a very easy way ya kuprint mkuu!
 
Wakubwa habari za leo. Naomba msaada, nahitaji kuprint Thready na Post zake zote za "Mtaji,10m/=" nikiprint moja moja inatoka vibaya je INVISIBLE na wengineo jamvin mnawezakunisaidia kuniwekea hiyo kwenye PDF/ word ili niiprint. Please this dokument ninaihitaji sana.
Slogan yetu The Home of Great Thinkers for 100% umeonekana kwenye hii thready.

Mkuu hii hapa kwenye attachment, I hope itakuwa fine. Kama haiko fine niambie ni attach word document.
 
Attachments

  • 28270-mtaji-.pdf
    221.2 KB · Views: 159
Mkuu The Farmer,Next Level, nimeipata viziri sana thanx much for ur support.
Be Blessed
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom