Msaada wa kujua kituo cha kupigia kwa njia ya mtandao

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Heshima yenu wakuu! Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa kujua kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao, nimesikia maelekezo yakitolewa Tbc 2 sikuwaelewa vizuri, hoja yangu ndio hiyo, niko safarini kuelekea Arumeru kutimiza haki yangu ya msingi kikatiba. Ni mimi mpiga kura!
 
heshima yenu wakuu! Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa kujua kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao, nimesikia maelekezo yakitolewa tbc 2 sikuwaelewa vizuri, hoja yangu ndio hiyo, niko safarini kuelekea arumeru kutimiza haki yangu ya msingi kikatiba. Ni mimi mpiga kura!

nidipu nikuelekeze
 
Wakati mwingine muwe serious kidogo si kila jambo ni la utani !
generally hapa JF hakuna swala la utani hata moja ukiona wanaoleta utani hawajui wafanyalo nafikiria watu kama hawa wangeanzishiwa ban ili kuchuja mchele na pumba
 
Back
Top Bottom