msaada wa kisheria

Mathematical

Senior Member
Nov 8, 2010
120
43
habari wadau wa sheria, mimi sio mwanasheria ila naomba msaada wa kufahamu hili je mtu ambaye amefikia level ya country manager au managing director wa kampuni fulani hapa nchini lakini mtu huyo sio mtanzania je ana work permit ya mda wa miaka mingapi kufanya kazi nchini katika position hiyo na je baada ya kumaliza mda huo anaruhusiwa kurudi nchini baada ya miaka mingapi??
 
Napita tu mi ni mtaalam wa eneo lingine!wanakuja watakusaidia.Unataka umletee noma Dountry Director nini mazee?
 
ndo maana yake kaka kuna watu wanaongoza kampuni utadhani sisi sio wazawa wa hii nchi wanakera sana mkuu,naomba ushauri kwa wadau nikaangushe noma wananyanyasa watanzania sana hawa!
 
Back
Top Bottom