Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Msaada wadau,
Wakuu kuna wakina mama wamejiunga hapa mtaani kwetu kwenye kikundi chenye uongozi rasmi, lakini hawana katiba wala hawajasajiliwa, wamekua wakiendesha shughuli zao mbali mbali kama kikundi. Siku za hivi karibuni walitaka kununua eneo(Ardhi) kwa ajili ya matumizi yao kulingana na mipango mbali mbali.
Kwa kuwa mimi ni miongoni mwa wanaobeba kabegi mtaani kwenda kazini na kurudi, waliniona wakitaka ushauri ni jinsi gani wataandikishana maelezo ya ununuzi wa kiwanja, kwa kweli mimi na maswala ya sheria ni mbali mbali, hivyo nimeona ni bora nije kupata ushauri kwa mwenye ujuzi wa masuala haya.
Swali langu ni je: Maandishi ya mauziano hayo yatakuwaje ikiwa hawa watu sio rasmi kisheria? viongozi wanaweza kununua kwa niaba ya wanachama wenzao? nk. n.k n.k n.k........................