Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
Habari za mwisho wa wiki wana JF,
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili:
Kaka yangu alizaa mtoto nje ya ndoa, na akamtambulisha huyo mtoto kwetu sote hadi kwa wazazi wetu na ndugu wote, Alim-batiza na akamwandikisha hata kazini kwake. Alikuwa anamtunza na kumsomesha. Sasa imetokea bahati mbaya huyu ndugu yetu amefariki. Yule mtoto atapata vipi haki zake? (Hatujajua kama aliandika wosia au la)
Nawasilisha...