Msaada: Uume unauma kwa ndani na kutoka majimaji

grandMullah23m

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
235
312
Helo wanajamvi,

Msaada kidogo wa dharura. Wiki iliyopita nilijilia tunda kimasihara tu bila kutegemea kutoka kwa mwenzangu baada ya ukame mkubwa. Nilishiriki pekupeku(dah) nimejikuta na hali ya wasiwasi.

Kwenye uume unauma kwa ndani..na kutoka majimaji (nahisi sio mkojo).

Nimepima leo baada ya kukosa amani matokeo yakanikosesha raha na kuanza matibabu papohapo ya sindano.

Naombeni mnitoe tongo kidogo, ushauri pia kwa maana nilikosa Uhuru wa mahojiano ya uwazi nilivyokuwa na daktari. Vipimo ni kama nilivyoambatanisha.

IMG_20221020_022608_132.jpg
 
Shukran sana mkuu.Hivi naeza kuacha hii doz ya sindano nitumie hizi dawa au niendelee nayo...maana ni ya siku saba.Na vipi kwa huyu mwenza ambaye yeye anadai kuwa haumwi popote na wala hataki kuchoma sindano yoyote
Tumia zote, endapo unaona sindano bado hazijaleta matokeo mazuri, jitahidi maji Mzee, bila maji kazi bure.

Asiyetaka kutibiwa huyo hakufai bro, siyo Mke piga chini
 
Shukran sana mkuu.Hivi naeza kuacha hii doz ya sindano nitumie hizi dawa au niendelee nayo...maana ni ya siku saba.Na vipi kwa huyu mwenza ambaye yeye anadai kuwa haumwi popote na wala hataki kuchoma sindano yoyote
Mkuu hilo ni gono kwa mwanamke halioneshi dalili kabsaa unaweza kugombana nae maana yeye haisi chochote
Ukirudia tena unapata inatakiwa na yeye atibiwe
 
Kanunue hiyo doz pia.....

Inasafisha magonjwa yote ya zinaa.

Dozi ni vidonge 10 kwa siku vi2. Bei Nadhan ni elf 10 kwa doz!!!!

Choma sindano...tumia na hvo.

Nauhakika utakua poa lakin punguza kavu siku hiz ukimwi si sana Kama magonjwa ya zinaa.

IMG_20221015_202934_942.jpg
 
Back
Top Bottom