Msaada/ Ushauri tafadhali

Kitu ambacho ni kigumu mamii hasa ukiwa umelevywa na kilevi PENZI hizo nyakati hutazisoma wala kuzifikiria!

Haya ndo matatizo ya kumegwa mimi iwa nawatahadhalisha sana kwa wale wanao taka kuolewa usimegwe mapema ukisha megwa jamaa akaonja radha basi na speed inapungua maana kakipata alicho kuwa anakitaka.
 
Thanks for understanding i know it hurts to hear the truth, but rafiki mwema atakwambia ukweli, am free for any questions and advice coz am much older than most of you here so sometimes i just participate here to see what you have in your relationships. Ubarikiwe

Shkamoo Mama Joe!
 
Haya ndo matatizo ya kumegwa mimi iwa nawatahadhalisha sana kwa wale wanao taka kuolewa usimegwe mapema ukisha megwa jamaa akaonja radha basi na speed inapungua maana kakipata alicho kuwa anakitaka.
we mtoto acha hizo maybe its the other way round? wengine wakinyimwa ndo wanakuwa hivi! Think twice.
 
...pamoja na kamgogoro ka muda mrefu, KWANINI mmeng'ang'ania kutumiana sms tu? huduma zote za mazungumzo ya bure kwa simu 'jiachie', 'jirushe' etc hamzitaki? hata kuonana uso kwa uso pia ni ngumu?

Huna kosa, wote mnamakosa. Jirekebisheni.

pamoja zaini,vodajamaa,tigo-tigo na nyingine...kwa swala hili mlitakiwa kwenda hewani,hilo kidogo ni kosa lako kwingine huna makosa.

Pole na msiba...
 
Haya ndo matatizo ya kumegwa mimi iwa nawatahadhalisha sana kwa wale wanao taka kuolewa usimegwe mapema ukisha megwa jamaa akaonja radha basi na speed inapungua maana kakipata alicho kuwa anakitaka.

We Fidel nani amekwambia wanawake wote wanachanganywa na mimego? Kuna watu hata hawawi satisfied in bed lakini bado anampenda huyo mtu kwao hawa sex is not anything, kuna wanaompenda mtu kwa vigezo mbalimbali so anashindwa kumwacha kwa vigezo hivyo na si sex ebo!
 
pamoja zaini,vodajamaa,tigo-tigo na nyingine...kwa swala hili mlitakiwa kwenda hewani,hilo kidogo ni kosa lako kwingine huna makosa.

Pole na msiba...

Jamani mbona watu mmekazania tu kuwa asingetuma sms angempigia tukumbuke kuwa hakumsms ili watatue ugomvi uliokuwepo bali alimjulisha taarifa za msiba. Tuangalie content ya ujumbe na si namna ujumbe ulivyofikishwa.

Nijuavyo mimi msiba ni kitu cha kushirikiana hata kama kuna hitilafu katika stimu ya mawasiliano bado alipaswa kuziweka kando na kushiriki katika kufarijiana kisha ndo uje ulianzishe but mwenzio ana uchungu we unamwongezea kisa anakupenda??!! Si haki kabisa.

Msindima mwaya usikubali.......!!
 
na ndipo watu wanapokoseaga, ukishamwendekeza mwanzoni hivi mkifika kati ngoma yake haichezeki.....huyu man hayupo serious hata kidunchu, hata kukuuliza mamake mazishi yanaendeleaje huko hakuna ujirudie aanze ku complain? ninavyojijua ningesham delete kitambo.....
 
Hapo sasa dada we acha tu watu wengine kama hawana roho jamani? Hivi huwa wanafikiria duniani wanaishi wao peke yao eeh kisa wametamkiwa wanapendwa - when a woman is fed up.......

Msindima ni bora ukachunguza kwa macho wazi nia ya huyu mwenzio!!
 
mwanaume akishajua unampenda ni kosa...... hawaishi vitimbwi.
 
Pole sana kwa msiba. Pole sana kwa BF wako kutokuitikia vizuri msiba wenu.

Ila shida ninayoiona mimi ni ule MGOGORO wenu wa muda mrefu ambao wewe unauita "kamgogoro". Hako si kamogogoro kama unavyotaka tuamini, huo ni mgogoro. Ndiyo maana hata mawasiliano yenu ni ya kujilazimisha tu. Hapa ninaonekana mmetafutana baada ya kutokea msiba, tena mmetafutana kwa SMS bila hata mmoja wenu kupiga. Inaonekana uhusiano wenu umenyauka, na uko karibu kufa. Kuna mawili ya kufanya:

a. Kusitisha uhusiano ambao tayari ni dhaifu; badala ya kuendelea kulaumiana juu ya nani mwenye makosa na nani hana makosa. Kwani ukiona communication imekuwa dhaifu kwenye uhusiano basi ujue ndiyo mwanzo wa mwisho wa uhusiano huo.

b. Kutatua mgogoro ("kamgogoro") badala ya kulaumiana na kutafuta kutatua "matawi" ya "kamgogoro" mkiuacha mgogoro wenyewe. Ufanyieni kazi! Huu ndiyo mzizi na chanzo cha ninyi kujikuta mko hapo. Sahauni ya nyuma. Msiba umepita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom