MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

Wandugu,

Awali ya Yote Napenda kuchukua nafasi kuwashukuru wote wenye mapenzi mema mlioniletea maji na mikate nikiwa ''keko''.Nawapenda sana!WANAOKWENDA JELA SIO WOTE WENYE HATIA JAMANI........!wengine ndo hivyo wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa.Tuwapende tu wafungwa.Leo mimi,kesho wewe AU VIPI?okay okay tufunike kombe basi kwasababu LIFE HAS TO GO ON!

TATIZO LANGU,
Nahitaji ushauri/mawazo yenu kwa sasa.Natafuta Jina zuri la kumpa mtoto wa KIUME.Tumejaribu ku-google,ku-twitt na kila kitu lakini it looks like ubavu wangu ''haujaridhishwa'' na hayo majina.Sasa kwakuwa I HAVE FRIENDS IN MY LIFE...nilidhani si vibaya mkanisaidia na nyie kupropose majina kadhaa ya mtoto wa KIUME.

MAJINA HAYA NAOMBA YAANZIE NA HERUFI G..
mimi nilikuwa na haya:
GAMALIEL
GARETH
GAETANO
GYAN
GERVAS
Gallus
graham
Garry
Gavin
Geoffrey
George
Gerard
Germain
Gerry
Gibson
Glen
Gordon
Graham
Grayson
Gregory
Griffin
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth


msaada wajameni,maanake huko ''tarbenakle'' hakukaliki tena

Mbona yote ya kizungu? Fikiria ya kiswahili/kitanzania pia: Gurumo, Gunia, Gunda, Ghati, Gesase, Gamuya, Gishi, Gololi, Gorogosi, Gwandu, Gamanywa, etc
 
Hadi akacheki na mhusika :preggers: kwanza...
Hivi anayepaswa kuamua jina la mtoto wa kiume ni nani?? na wa kike??
Well, me decide majina ya watoto wote wa kiume and she decides wa kike...

hata cjui, cku hizi ndio mpaka muangalie kwenye mitandao, mie tuliwapa majina ya babu/bibi z zao....manka/kabula
 
Hongera Teamo

Angalia usimwite jina gumu sana bana wachaga hawakawii kumwita la kwao. Gabriel watamwita Gabu/Gapu/Birieli kama si Pirieli
Geoffrey watamwita Firee na Gregory akaishia kuitwa Giree.

I will go for Gregory though

Wachaga hutohoa
Gabriel=Kapreli
Geoffrey=Kyefure
Gregory=Kirikori
 
St. Roya loves fish.:A S-confused1: which fish sato,sangara,pweza????
Ukishaita samaki tu....mimi loves it!.....sato, sangara, kambale, tasi, changudoa, pweza, ngisi, mkizi, kolekole, perege...halafu.....
nakuja pm....:amen:

Sijui kama unamjua vizuri huyu infii mtakatifu Roy.:smash::smash::smash:

Abomination .... name calling.....uchachuzi wa thredi ya teamo, character assassination....:frusty:
be warned accordingly...
 
ukishaita samaki tu....mimi loves it!.....sato, sangara, kambale, tasi, changudoa, pweza, ngisi, mkizi, kolekole, perege...halafu.....
Nakuja pm....:amen:



abomination .... Name calling.....uchachuzi wa thredi ya teamo, character assassination....:frusty:
Be warned accordingly...
nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom