MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

Binamu pole kwa yote yaliyokukuta, lakini ni majaribu tu ya hapa duniani bila kuyapitia hufiki kokote.

Mie naona jina zuri mwite GIOVANIS.
 
thanks ma friend!......
GIOVANIS.....well!i think i will go through your plan
 
wajameni ninawashukuru sana!
ningependa majina zaidi......!ikibidi na maana za hayo majina wajameni
 
Binamu pole kwa yote yaliyokukuta, lakini ni majaribu tu ya hapa duniani bila kuyapitia hufiki kokote.

Mie naona jina zuri mwite GIOVANIS.
Sis' jina hilo zuri kwa wenye kujua ilmu kidogo

ushaimajin mtoto akahamtia mtwara au katavi litatamkwaje??

Kiuswahili sana majina kama godi, gegedu, gudy, gano ni rahisi zaidi kutamkwa... vilevile kwenye jina bana kuna soo moja, some names a beautiful when the boy is till a kid, once grown unajiuliza hili jina la wapi? Giovanis?

Mie muasilia kweli nadhani Gegedu si baya sana

Teamo, what about Amani, Imani, Tumaini, Bahati, Baraka, nuru, Huruma?
 
Ukiita yeye George the GREAT basi atafanya mambo makubwa sana Tanzania, Afrika na si ajabu hata duniani.
 
Sis' jina hilo zuri kwa wenye kujua ilmu kidogo

ushaimajin mtoto akahamtia mtwara au katavi litatamkwaje??

Kiuswahili sana majina kama godi, gegedu, gudy, gano ni rahisi zaidi kutamkwa... vilevile kwenye jina bana kuna soo moja, some names a beautiful when the boy is till a kid, once grown unajiuliza hili jina la wapi? Giovanis?

Mie muasilia kweli nadhani Gegedu si baya sana

Teamo, what about Amani, Imani, Tumaini, Bahati, Baraka, nuru, Huruma?
bado mpwaaz
mbado hapo:nono::nono:
 
Gaizka - means SAVIOR
Gal - means WAVE
Galen - means CALM
Galeron - means A KNIGHT
Gallagher - means EAGER HELPER
Gallio - means WHO SUCKS OR LEAVES ON MILK
Gamer - means DEFENDER
Gann - means SPEAR PROTECTER
 
Sis' jina hilo zuri kwa wenye kujua ilmu kidogo

ushaimajin mtoto akahamtia mtwara au katavi litatamkwaje??

Kiuswahili sana majina kama godi, gegedu, gudy, gano ni rahisi zaidi kutamkwa... vilevile kwenye jina bana kuna soo moja, some names a beautiful when the boy is till a kid, once grown unajiuliza hili jina la wapi? Giovanis?

Mie muasilia kweli nadhani Gegedu si baya sana

Teamo, what about Amani, Imani, Tumaini, Bahati, Baraka, nuru, Huruma?
Kweli kabisa GEGEDU limetulia.
 
Back
Top Bottom