msaada tutani.

magesa jr

Member
Aug 20, 2010
13
0
naombeni msaada wenu wanajamii. Kuna demu hapa kitaa nampenda naye ananipenda. hivi karibuni wakati bado tunaendelea kufahamiana zaidi wakaachana na boyfriend yake lkn nashangaa nikimkaribisha kwangu au swala la outing siku zote anachomoa. Cha ajab zaidi akiwa na rafikize anasema ananipenda!!!!!!!??????
 
Labda anahisia na wewe ila anaogopa mkienda out au akija kwako unaweza kumpeleka haraka.
Jaribu katika maongezi yenu kumwambia kua mkionana wawili tu hakuna kitu utamuomba, na umaanishe. Utaona atakuja.
 
nimeshajaribu sana lkn wp? Nadhani ananipenda zaidi nikiwa mbali naye
 
Ni kwamba situation hapo inasoma hujawa serious kwa maana ya neno SERIOUS! ukiwa unaendesha hilo zoezi huku unachekacheka kama Jeykei (Jeykei hucheka hata kwenye mazishi) atakusumbua ! Jaribu ku'act nikwambiavyo utaona mabadiko, mwanamke hana ujanja kwa mwanaume.
Asikudanganye mtu.
 
kumbe humu watu hawalali!

Kuhusu huyo binti je umeonyesha kuwa upo serious?
Unamkaribisha kwa utaratibu au unafosi?
Mpe muda in time atakaa kwenye mstari ingawa hili linategemea na jinsi utakavyochanga karata zako
 
Labda anahisia na wewe ila anaogopa mkienda out au akija kwako unaweza kumpeleka haraka.
Jaribu katika maongezi yenu kumwambia kua mkionana wawili tu hakuna kitu utamuomba, na umaanishe. Utaona atakuja.

akimuuliza kwani nani kamwambia kuna kitu atakachomwomba.......................huoni atakuwa kajiejngea mazingira tatanishi hapo.......
 
Ni kwamba situation hapo inasoma hujawa serious kwa maana ya neno SERIOUS! ukiwa unaendesha hilo zoezi huku unachekacheka kama Jeykei (Jeykei hucheka hata kwenye mazishi) atakusumbua ! Jaribu ku'act nikwambiavyo utaona mabadiko, mwanamke hana ujanja kwa mwanaume.
Asikudanganye mtu.

hana ujanja kama kweli anakuhitaji muwe pmoja..vinginevyo...........ipo shughuli nzito...
 
Fanya hivi dogo kama kweli una good intentions, mwambie kwamba unapenda mkutane halafu mpe yeye choice akwambie angependa mkutane wapi then start from there (it was always working for me coz in most cases atarusha tena mpira kwako then bingo...)
 
​hebu nenda nae taratibu unamkaribisha kwako haraka haraka hivo,mlietiming tu,KIBRA hyo
 
katoka kuumizwa so yupo kwenye self defence mode.u have to make her to be comfortable around u.usianze kwa gia kubwa,be her shoulder to lean on utashangaa mwenyewe atakavyokuja kasi
 
mchagulie kiota cha heshima halafu mwambie aje na rafiki yake halafu na wewe toka na mshikaji wako mkifika huko ndo mnajitenga kimtindo game over.Mtu mzima ambiwi what is next
 
Labda anahisia na wewe ila anaogopa mkienda out au akija kwako unaweza kumpeleka haraka.
Jaribu katika maongezi yenu kumwambia kua mkionana wawili tu hakuna kitu utamuomba, na umaanishe. Utaona atakuja.
Teh halafu akija anamuomba.....teh mwali hiyo ndo janja ya nyani.
 
Tulia wewe, labda mwenzako anakupenda kama kaka yake sasa unaweza kumtoa out akaenda huko akakupiga kibutu urafiki ukaishia hapo.usiende kichwa kichwa utaumizwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom