Msaada tutani: Nimejisababishia makengeza

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…

Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green kuliko uhalisia.

Mimi nkawa nashindwa kuconcentrate kwenye Tv moja, nikiangalia ya kulia, ya kushoto inantamanisha kama inaonesha vizuri., nikiangalia ya kushoti vice versa is true.

Kusolve hilo tatizo nikaamua niziangalie zote kwa wakati mmoja.

yani jicho la kulia liangalie tv ya kulia na jicho la kushoto liangalie tv ya kishoto.

Halafu ubongo ukawa unaziunganisha hizo image mbili kichwani kutengeneza picha iliyo standard.

Hili zoezi mwanzo lilikuwa gumu kama haliwezekani lakini ukijikaza sana utashangaa umeweza..jaribu kama Tv ziko mbili zinaonesha kitu kimoja ziwekwe mbele yako halafu ujaribu kuangalia katikati huku ukiconcentrate kwa kuibia ibia kila jicho kwenye TV zote. Mwishowe utaweza.

Back to the story, nilifanikiwa kuanzia dakika ya 20 mpaka mechi inaisha ninaangalia TV mbili kwa wakati mmoja.. Tena nilipoweza tu nikashindwa kabisa kuangalia moja tena maana lazima jicho lingine lingekuwa linataka kuangalia TV nyingine. Nikiangalia macho yote TV ya kushoto, lazima jicho la kulia lingeaza kuibia TV ya kulia ili niunganishe image.

Sasa mtiti unakuja hapa, Baada ya mechi kuisha kichwa kikawa kinaniuma sana, nikaenda kulala
Nilipoamka kujiangalia kwenye kioo nmejikuta nina makengeza…Yani macho yamechengana…Jicho la kulia kama linaangalia kulia mda wote na jicho la kushoto kama linaangalia kushoto mda wote.

Sasa hata kwenye maisha ya kawaida nimekuwa mtu wa kuangalia vitu vilivyo mbali mbali na kuviunganisha kama viko frame moja.

Inshort tayari nimekuwa makengeza.
JF Doctor, naombeni msaada
Naponaje hii hali?
9188BF09-53FA-4304-AE60-A5644B8A86EE.jpeg
 
Hahahahhaaaaaa😂😂😂😂😂 kwa hiyo unaona double double saivi😂😂😂😂😂
Yani mfano ukiangalia mbele, si kawaida kwa mbele unaona clear lakini huku pembezoni mwa macho kwenye hiyo sight kadr unavozidi kwenda kulia inakuwa kama kuna blur au ukungu fulani hivi..

Sasa mimi viceversa,
Katikati naona ukungu ila pembeni ndo naona pako clear
 
Picha shenzi
Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…

Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green kuliko uhalisia.

Mimi nkawa nashindwa kuconcentrate kwenye Tv moja, nikiangalia ya kulia, ya kushoto inantamanisha kama inaonesha vizuri., nikiangalia ya kushoti vice versa is true.

Kusolve hilo tatizo nikaamua niziangalie zote kwa wakati mmoja.

yani jicho la kulia liangalie tv ya kulia na jicho la kushoto liangalie tv ya kishoto.

Halafu ubongo ukawa unaziunganisha hizo image mbili kichwani kutengeneza picha iliyo standard.

Hili zoezi mwanzo lilikuwa gumu kama haliwezekani lakini ukijikaza sana utashangaa umeweza..jaribu kama Tv ziko mbili zinaonesha kitu kimoja ziwekwe mbele yako halafu ujaribu kuangalia katikati huku ukiconcentrate kwa kuibia ibia kila jicho kwenye TV zote. Mwishowe utaweza.

Back to the story, nilifanikiwa kuanzia dakika ya 20 mpaka mechi inaisha ninaangalia TV mbili kwa wakati mmoja.. Tena nilipoweza tu nikashindwa kabisa kuangalia moja tena maana lazima jicho lingine lingekuwa linataka kuangalia TV nyingine. Nikiangalia macho yote TV ya kushoto, lazima jicho la kulia lingeaza kuibia TV ya kulia ili niunganishe image.

Sasa mtiti unakuja hapa, Baada ya mechi kuisha kichwa kikawa kinaniuma sana, nikaenda kulala
Nilipoamka kujiangalia kwenye kioo nmejikuta nina makengeza…Yani macho yamechengana…Jicho la kulia kama linaangalia kulia mda wote na jicho la kushoto kama linaangalia kushoto mda wote.

Sasa hata kwenye maisha ya kawaida nimekuwa mtu wa kuangalia vitu vilivyo mbali mbali na kuviunganisha kama viko frame moja.

Inshort tayari nimekuwa makengeza.
JF Doctor, naombeni msaada
Naponaje hii hali?
 
Hili lina mahusiano yeyote na hayo makengeza. Maana nimejaribu kuangalia mpaka mwisho nikidhani labda nitaona kuna sehemu ulimtukana mwenye kibarakashia akakusomea dua ukawa na kengeza.

Anyways pole sana.
Hii ni stori nilishaleta humu sema mods wakaifuta…Hata kwenye huu uzi niliweka maelezo yake kidogo ila mods wako makini sana wameyafuta..
hata hii comment nahisi wataifuta.
Anyways tuyaache hayo wasije kufuta na huu uzi
 
Kuna upambavu mpya Moderator wameuanzisha wa kufuta ama kuhariri comment za watu hata kama hazina maudhui ya kukera, nilihisi ni comment zangu kumbe na wengine pia.

Maxence Melo there is something extremely wrong going on with you moderators and I'm so hesitant to believe all that is being done has your blessings.

JF daima ilijinasibu kwa uhuru wake wa kutoa maoni lakini imekuwa kinyume siku hizi. Malalamiko ya kufutwa nyuzi yamekuwa mengi, comment kuhaririwa, BAN zisizo na tija.

Hebu jaribu kuliangalia hili ama utoe waraka rasmi kuwa maudhui yetu ya uandishi yawe na mrengo wa kusifia moderators.

Najua hii comment itafutwa pia.
 
Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…

Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green kuliko uhalisia.

Mimi nkawa nashindwa kuconcentrate kwenye Tv moja, nikiangalia ya kulia, ya kushoto inantamanisha kama inaonesha vizuri., nikiangalia ya kushoti vice versa is true.

Kusolve hilo tatizo nikaamua niziangalie zote kwa wakati mmoja.

yani jicho la kulia liangalie tv ya kulia na jicho la kushoto liangalie tv ya kishoto.

Halafu ubongo ukawa unaziunganisha hizo image mbili kichwani kutengeneza picha iliyo standard.

Hili zoezi mwanzo lilikuwa gumu kama haliwezekani lakini ukijikaza sana utashangaa umeweza..jaribu kama Tv ziko mbili zinaonesha kitu kimoja ziwekwe mbele yako halafu ujaribu kuangalia katikati huku ukiconcentrate kwa kuibia ibia kila jicho kwenye TV zote. Mwishowe utaweza.

Back to the story, nilifanikiwa kuanzia dakika ya 20 mpaka mechi inaisha ninaangalia TV mbili kwa wakati mmoja.. Tena nilipoweza tu nikashindwa kabisa kuangalia moja tena maana lazima jicho lingine lingekuwa linataka kuangalia TV nyingine. Nikiangalia macho yote TV ya kushoto, lazima jicho la kulia lingeaza kuibia TV ya kulia ili niunganishe image.

Sasa mtiti unakuja hapa, Baada ya mechi kuisha kichwa kikawa kinaniuma sana, nikaenda kulala
Nilipoamka kujiangalia kwenye kioo nmejikuta nina makengeza…Yani macho yamechengana…Jicho la kulia kama linaangalia kulia mda wote na jicho la kushoto kama linaangalia kushoto mda wote.

Sasa hata kwenye maisha ya kawaida nimekuwa mtu wa kuangalia vitu vilivyo mbali mbali na kuviunganisha kama viko frame moja.

Inshort tayari nimekuwa makengeza.
JF Doctor, naombeni msaada
Naponaje hii hali?
tafuta 3d glasses uvae.. ila uende ukapime kwanza macho hospitali
 
Back
Top Bottom