Msaada tatizo la mifupa

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,934
1,400
Nina bibi yangu ana umri wa miaka 85 sasa hivi, ana matatizo ya mifupa kwani kile kimiminika kati ya mifupa (yaani viungio vya mifupa) imekwisha hivyo mifupa yake ya miguu inasagika kwa msuguano. Sasa hivi hawezi kutembea wala kusimama muda mrefu kama dakika tano anasema miguu (sehemu za viungio) vinamuuma sana.

Jamani mwenye kujua tiba (mbadala au za hospitali) juu ya ugonjwa huu naomba anisaidie kwani anateseka sana, amezunguka hospitali nyingi bila ya kupata dawa ya uhakika zaidi ya kupunguza maumivu tu. Nawasilisha!!!
 
Kamanda hata Mimi nilikuwa na Hilo tatizo
Na umri wangu ni mdogo 36 year,kazi yangu ilikuwa ni mt kilimanjaro guide for 15 years .kitu ambacho kimeisha ni ile fluid ya kwenye viungo yaani cartilage ,kuna dawa kamanda ambazo zinapatikana hapa USA $60 zina uwezo ku kurudisha ile fluids ,tuwasiliane
+15015451182
 
Huu ni msaada tosha kwa hawa wazee wetu
 
Attachments

  • 1398434044505.jpg
    1398434044505.jpg
    8.7 KB · Views: 229
Du! bora hata bibi inaeleweka ni uzee. Mi nina miaka 33 nina hilo tatizo. Lilianza miaka 4 iliyopita. Sijapona kabisa ila tatizo limepungua. Nakula vyakula vyenye calcium kwa wingi ili kuimarisha mifupa. Ikiwa imara kusagana kunapungua, nakula pia vyenye omega 3 kama samaki wa maji baridi. Mpeleke bibi kinondoni kwa dr. boaz 0713236164. Kama uko mbali na dar peleka picha yake ya hivi karibuni ya x-ray inayoonyesha aina/ukubwa wa tatizo. Huyu dr atakuelekeza vyakula vinavyoweza kurudisha fluid. Ni vyakula tunavyoviona kila siku kama kisamvu ila atakuelekeza namna nzuri ya kutumia hivyo vyakula. Mimi daktari aliniambia kabisa dawa hakuna na nimeangalia kwenye mitandao kuhakikisha nikaona ni kweli. Dawa zilizopo nyingi ni supplements za virutubisho tu. Naishi kwa vyakula na naendelea vizuri. Kamuone huyu daktari.
 
Wewe ungetwambia wewe alikusahuri ule vyakula gani ili nasisi tulio na tattizo hilo tupate faida mimi spinal zinasumbua sanaaa yani.
 
Sasa hizo supplement ndo zinazosaidia zina glucosamine na chondroitin znazosaidia kuongeza hyo fluid
Du! bora hata bibi inaeleweka ni uzee. Mi nina miaka 33 nina hilo tatizo. Lilianza miaka 4 iliyopita. Sijapona kabisa ila tatizo limepungua. Nakula vyakula vyenye calcium kwa wingi ili kuimarisha mifupa. Ikiwa imara kusagana kunapungua, nakula pia vyenye omega 3 kama samaki wa maji baridi. Mpeleke bibi kinondoni kwa dr. boaz 0713236164. Kama uko mbali na dar peleka picha yake ya hivi karibuni ya x-ray inayoonyesha aina/ukubwa wa tatizo. Huyu dr atakuelekeza vyakula vinavyoweza kurudisha fluid. Ni vyakula tunavyoviona kila siku kama kisamvu ila atakuelekeza namna nzuri ya kutumia hivyo vyakula. Mimi daktari aliniambia kabisa dawa hakuna na nimeangalia kwenye mitandao kuhakikisha nikaona ni kweli. Dawa zilizopo nyingi ni supplements za virutubisho tu. Naishi kwa vyakula na naendelea vizuri. Kamuone huyu daktari.
 
Wewe ungetwambia wewe alikusahuri ule vyakula gani ili nasisi tulio na tattizo hilo tupate faida mimi spinal zinasumbua sanaaa yani.
Duh! Huu uzi utakuwa wa miaka mingi sana. Stress za kuachwa zilipoisha na ugonjwa wa mifupa ukaisha. Nilishapona mimi. Kwa hiyo wewe kama si mzee fanya check-up ya mambo ya huko kumoyo huku ukiendelea na mazoezi ya viungo na kutumia supplements za kulainisha maungo utakazoandikiwa na daktari wa mifupa.
 
Back
Top Bottom