Msaada Tafadhali

Jilanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
255
40
Great thinkers, Habari zenu! Tafadhali mlo na weledi katika taaluma ya Sheria, naomba kujua procedures kwa mtu aliyechezea kichapo cha mbwa mwizi! Kuna rafiki yangu jinsia ya kike but not gf baada ya kumfuma her bf akinyonga gashi mwingine alimletea shari by saa 18:15 akala kichapo hajui wapi atadai haki zake na ni hatua zip apitie?
MSAADA TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom