Msaada tafadhali: Jinsi ya kupunguza ukubwa wa makalio kwa mwanaume

The pexie, Vaa nguo za kupimwa na fundi pia atakushauri mishono.Nime who waona wanawake wanene balaa hata hawapendezi,ila designer wakiwashonea nguo vizuri huvutia na umbo uwa nzuri sembuse wanaume.
 
hiyo inaleta gyno ni side effect ya izo dawa akitumia mwanaume, cheki usimfanye jamaa akaota na mtindi hapo utakua ushamwaribia kila kitu
Dogo kinachokusumbua no cellulities na nilikuwa na ishu Kama yako.nilienda hospitali muhimbili,Ila nenda kanunue dapsone 100mg inauzwa 45000 ukitoka tu nje ya hospitali Ile pharmacy iko pembeni na benki. Ukipona leta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapime hormone mkuu kisha utibu hormone ilizidi kama ni ya kike, fanya haraka kabla hujafika 25 ,pia fanya mazoezi ya kujirefusha angalia utube yapo ,na hata pia fanya mazoezi ya kukata kalio utube yapo ,mazoezi ya jeshi ni tofaut na nayokuambia ,, mwisho kabisa pendelea kulala chali ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli alale chali sakafuni na mkeka mara nyingi zaidi kuliko kitandani,asijali maumivu
 
Mkuu tatizo la kuwa na makalio makubwa ni sababu kuna fat hakuna kingine. Sasa kuna haya mazoezi ukifanya yatakusaidia
Want to Burn Hip Fat? Try These 10 Exercise Options
  1. Squats. Share on Pinterest. ...
  2. Side lunges. ...
  3. Fire hydrants. ...
  4. Wall sits. ...
  5. Banded walk. ...
  6. Step-ups with weights. ...
  7. Side-lying leg raise. ...
  8. Jump squat.
Thanks Mkuu
Hapa nlipo natoka kiwanjani kula tizi
 
Mbio za jeshi za asubuhi na jion ulikuwa huangushii kweli??
Sababu riadha inakata mno mafuta hasa sehem za mapaja,makalio nk
Suluhisho la rahisi ni jogging,amua kweli kweli.
 
Ni kula nyabe mara tatu kwa siku, yaani asubuhi, mchana na jioni kila siku mpaka ufikie umri wa kustaafu, mbona ilo wesere litakuwa flat kama sinia.
 
Back
Top Bottom