Msaada: Siku za mnada wa mbuzi Vigwaza

HR CONSULTANT

Member
Jun 7, 2010
76
8
Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza.

Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake.

Natanguliza shukurani!
 
Na ruvu pia kunakuaga na mnada,kwa vigwaza alhamis,ukiitaji msaada wa kuingia chimbo uko,nicheki pm
 
Mnada alhamisi,Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mbuzi.
Karibu wenyeji tupo.
 
Back
Top Bottom