msaada pliiiz!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
jaman jaman hili tatizo la kuwa na alama nyeusi naamanisha kwapani, huku mikanda ya chupi inapopita mapajan na magotin na mikonon kuna mtu mwenye idea na dawa ya jambo hilinijuzen coz my frend ana hiyo tatizo.
 
ngoja wataalamu waje beibe nasty
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom