Msaada nimepoteza ladha ya chakula na harufu

Mimi nilikuwa sihisi radha na harufu kwa muda wa mbili wiki ikapotea yenyewe na niko na familia mimi pekee ilinikuta iyo hali sasa sijui ilikuwa nini! Blood group B+
 
pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?
● kifua hakikukuumi au kubana?
●Huharishi?
●Mwili hauukumi yaani maumivu ya viuongo?

kama majibu yote ni ndiyo kacheki x_ray kucomfirm kama una viral pneumonia(corona)
pia unaweza kupima vipimo vingine kujua zaidi.
Binafsi mimi ni daktar lakini hizo dalili zilinipata baada ya kupima nikakutwa na covid 19 hapa nilipo natumia matibabu na ninaendelea vyema🤝🤝🤝
Okay,me mwenyewe mwili unaniuma, kikohozi Hadi sauti imekauka na maumivu kooni,
Nimejaribu kununua AMPILCLOX
 
nenda kafanye check up mkuu wanguna upate matibabu kabisa
kama ukiwa tayari niko lazi nikuandikie dawa ambazo tunazitumia kutibu corona pt...ambazo hata mm nazitumia mpaka muda huu
Ndugu kwa nini hizo dawa usiweke hapa kwa faida ya wengi
 
Nilikuwa na kila dalili za mwanzoni za corona kama mkuu alivyoeleza apo juu... Ilibakia kidogo niende bugando nikapime corona...

But nikachukua maamuz ya kujifukiza, nashukuru Mungu naendelea vyema kabsa...
 
Baadhi ya wanaougua COVID wanakuwa na very mild symptoms. Huyu anaweza kuwa na hizo mbili tu za kupoteza taste na sense of smell. Hawa mara nyingi huu ugonjwa hauwaathiri sana. Sijui siri ni nini lakini niliwahi kusoma kwamba baadhi ya watu wenye blood group O COVID haiwasumbui sana.

Mimi sina group o nina AB,ila nilipata shida ya kutokusmell wala kutaste...sikuumwa chochote ..na nilikuwa poa kabisa.

Nilikuwa nashindia malimao na tangawizi asubuhi na jioni nikitoka job.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?
● kifua hakikukuumi au kubana?
●Huharishi?
●Mwili hauukumi yaani maumivu ya viuongo?

kama majibu yote ni ndiyo kacheki x_ray kucomfirm kama una viral pneumonia(corona)
pia unaweza kupima vipimo vingine kujua zaidi.
Binafsi mimi ni daktar lakini hizo dalili zilinipata baada ya kupima nikakutwa na covid 19 hapa nilipo natumia matibabu na ninaendelea vyema🤝🤝🤝
toa dawa doctor sio wote wenye uwezo wa kupima but dalili tunazijua dokta
 
Okay,me mwenyewe mwili unaniuma, kikohozi Hadi sauti imekauka na maumivu kooni,
Nimejaribu kununua AMPILCLOX
Mm ilinikuta hii nkatumia hizo ampilclox lakini wapi,mwili ulikua na joto,viungo kuuuma ,kuharisha kidogo ,koo linauma nkimeza mate kwenda kupima malaria hakuna uti hakuna ikabidi nichukua dozi ya azuma,vitamin c ,ped zinc na kutengeneza dawa ya kienyeji kama ya nimr ndo nkawa sawa
 
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Itakua upo kwenye dozi flani, kama ni ivo ni kawaida.
 
pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?
● kifua hakikukuumi au kubana?
●Huharishi?
●Mwili hauukumi yaani maumivu ya viuongo?

kama majibu yote ni ndiyo kacheki x_ray kucomfirm kama una viral pneumonia(corona)
pia unaweza kupima vipimo vingine kujua zaidi.
Binafsi mimi ni daktar lakini hizo dalili zilinipata baada ya kupima nikakutwa na covid 19 hapa nilipo natumia matibabu na ninaendelea vyema
Unatumia matibabu gani mkuu? Mfano dawa na taratibu zake
 
nenda kafanye check up mkuu wanguna upate matibabu kabisa
kama ukiwa tayari niko lazi nikuandikie dawa ambazo tunazitumia kutibu corona pt...ambazo hata mm nazitumia mpaka muda huu
Nisaidie ndugu mana mke wangu ana dalili karibia zote alizouliza mdau hapo juu,na ninahisi ni covid ila ninaimani tutaishinda. Nisaidie hizo dawa ili nifanyie utaratibu
 
Nisaidie ndugu mana mke wangu ana dalili karibia zote alizouliza mdau hapo juu,na ninahisi ni covid ila ninaimani
Nisaidie ndugu mana mke wangu ana dalili karibia zote alizouliza mdau hapo juu,na ninahisi ni covid ila ninaimani tutaishinda. Nisaidie hizo dawa ili nifanyie utaratibu
Covid 19 Treatment
I.V CEFTRIAXONE 1G BD 1/52
T.AZITHROMYCINE 500MG OD 1/52
INJ HEPARIN 5000 I.U OD 1/52
T.VITAMIN C 100MG OD
INJ DEXAMETHASONE 4MG BD
J.ASA 75MG OD
IV PANTOPRAZOLE 20MG STAT
THEN T.PANTOPRAZOLE
T.MONTELUCAST 10MG OD
T.LORATEDINE 10MG OD
T.VITAMIN D 1TAB OD
T.ZINC 40MG OD
T.IBUPROFEN 400MG TDS
 
Mm ilinikuta hii nkatumia hizo ampilclox lakini wapi,mwili ulikua na joto,viungo kuuuma ,kuharisha kidogo ,koo linauma nkimeza mate kwenda kupima malaria hakuna uti hakuna ikabidi nichukua dozi ya azuma,vitamin c ,ped zinc na kutengeneza dawa ya kienyeji kama ya nimr ndo nkawa sawa
Okay, Ila nashukuru kwasasa nipo vizuri, Ila umenikumbusha AZUMA zinasaidia nasikia, jumatatu naenda kudungwa chanjo mapema Sana
 
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Hiyo ni hatua nzuri kuwa korona imeshindwa kukuangusha ,nikama msemo wa ukisikia mlio wa risasi ujue ujafa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom