Msaada: Nimepoteza karatasi ya TIN

Sioni ajabu kwani unaonekana haujui thamani yake ndiyo sababu unaiita karatasi, ukienda TRA ukiwaambia umepoteza karatasi ya tin watakuambia wao huwa hawatoi karatasi hizo.
Thamani huoni ....mtu kaanzisha Uzi,kafikiria na katumia bando

Kakoswa kusema karatasi tu unaomponda...Tujitahidi kufikiri chanya apo unamrekebisha tu tunapita hivi
 
Thamani huoni ....mtu kaanzisha Uzi,kafikiria na katumia bando

Kakoswa kusema karatasi tu unaomponda...Tujitahidi kufikiri chanya apo unamrekebisha tu tunapita hivi
Hebu fikiria unaanzaje kupoteza cheti cha TIN! Unatembea nacho mitaani! TIN TRA inakutaka uibandike ukutani kwenye biashara yako.
 
Habari nimepoteza karatasi ya TIN namba, hivi Kuna njia rahisi ya kuipata au mpaka niende TRA?
Unaweza kuipata je ni ile uliyoipata on line? Kama ni ile uliyoipata on line basi unaweza kuingia kwenye account yako na ukaipata! Kama ni ile ya zamani omba loss report nenda nayo TRA utaipata
 
Hebu fikiria unaanzaje kupoteza cheti cha TIN! Unatembea nacho mitaani! TIN TRA inakutaka uibandike ukutani kwenye biashara yako.
Twende pamoja vuta picha imeibiwa au limetokea janga lolote la ghafla kama moto,mvua kubwa apooo utamlalamiliaje mtu

Ndoo mana nasisitiza Jenga dhana chanya zaidi ukitaka kuchangia hoja
 
Back
Top Bottom