Msaada: Ni kampuni gani nzuri kwa bima za magari

Hilo jengo lipo wapi? weka mtaa ikibid wengine wagen mji huu please nielekeze
Hawa jamaa ni safi. Wiki iliyopita nilipata ajali kubwa lakini walinilipa ndani ya siku tatu. Isipokuwa ni lazima pia usipende michezo ya mjini maana wako makini sana.
 

Attachments

  • 1464160273055.jpg
    1464160273055.jpg
    76.7 KB · Views: 82
Jubilee ni kampuni nzuri lakini kuanzia July 2015 thamani ya Mil. 9,000,000x 3.5% = 315,000 ongeza VAT 18%x 315,000=56,700 jumla kuu ni Tshs 373,700/= kwa mwaka. Zaidi ya hapo wana advantages ambazo hupati kwenye kampuni nyingine.
Advantages gani hiyo?
 
Mkuu kumbuka hapo pana vat hizi kampuni bima zinachukua chao chote then ww unalipa vat ss 270000 piga asimilia 18 ya laki mbili na sabini utop hapo ndio utapata unatakiwa kutoa kiasi gani.
 
Mkuu unanifananisha na LEMA?
77
[/IMG]67777777777777777767777777777777777777ysx777777777777777777777
Mkuu hebu cheki na hawa majamaa wenye karakana kubwa za kutengeneza magari watakupa ushauri kulingana na uzoefu kutoka kwa wateja wao (waliopata majanga na kufidiwa) kuhusu formula za comprehensive zote zna fanana tofauti ni quality ya huduma

Naamini MSALANI atatoa ushirikiano mzuri kwa hili kwani tigo yake anaitumia vizuri LOL

nenda IGT
 
Back
Top Bottom