Msaada: Natafuta Mwalimu mzuri wa Karate Dar

Ducinaltum

Senior Member
Oct 9, 2022
160
112
Hallow JF members, i hope mko poa.

Natafuta mwalimu mzuri wa karate hapa Dar, hususani kutoka maeneo ya Mtoni Mtongani au Mbande.

Nawasilisha wakuu
 
Ukitaka ujifunze karate vizuri soma chini ya walimu waliofuzu namaanisha masensei

Kuna Mmoja sensei Yahya mgeni dojo lake lipo ilala bungoni ccm,gongo la mboto na ubungo

Kuna sensei kheri kivuli yupo shule ya uhuru kkoo

Na wengineo
 
Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana.

Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha?
 
Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana.

Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha?

Wewe huu muda unaotumia kushauri maisha ya watu usowajua unaingiza sh ngapi?
 
Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana.

Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha?

Yawezekana pia akawa tayari alishazisaka noti na ameshanyoosha future yake mkuu.

Mpe msaada anaohitaji kama unao. Be relevant to the topic. 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom