Msaada; Nahitaji Punda wa kununua

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,062
9,988
Kwa anemjua mfanyabiashara wa Punda anipatie mawasiliano, nahitaji Punda kwa shughuli za shamba.
 
Hamjamuelewa Mtoa mada anataka ( punda yani wale wabeba madawa kusafirisha) Mtoa mada nenda bongo movie wapo maana wale wanapenda mAisha ya ukardashian Uku Kazi hawatak kufanya
 
Hamjamuelewa Mtoa mada anataka ( punda yani wale wabeba madawa kusafirisha) Mtoa mada nenda bongo movie wapo maana wale wanapenda mAisha ya ukardashian Uku Kazi hawatak kufanya

Nataka wanyama kazi, sio Punda wa madawa.
 
Kwa anemjua mfanyabiashara wa Punda anipatie mawasiliano, nahitaji Punda kwa shughuli za shamba.

Nenda Lumumba kwenye jengo la kijani kuna Punda wengi sana na wa bei rahisi,wanakufanyia kazi zote kwa siku ni Buku Saba.
 
Nenda Lumumba kwenye jengo la kijani kuna Punda wengi sana na wa bei rahisi,wanakufanyia kazi zote kwa siku ni Buku Saba.

Acha upumb**v wewe mtu anaongelea v2 vingine na wewe unaleta v2 vingine, wabongo mbona mnajifanya siasa imewakolea sana
 
Nenda Lumumba kwenye jengo la kijani kuna Punda wengi sana na wa bei rahisi,wanakufanyia kazi zote kwa siku ni Buku Saba.

Inamaana JF ndio imekuwa na watu wenye uelewa mdogo namna hii.

Melta mada kaileta vizuri sana na dhamira yake ni njema tu,Punda wakamsadie kazi.
Leo mtu analeta Siasa,dnio tutabakia hivihivi,mwenzetu anaomba ushauri aingize hela kwenye mradi wake,Sie tunakalia Siasa na kubanana mjini kusubiria maisha ya kusadikika kwa wanasiasa.

Mkuu nakushauri kama una hela agiza Kondoa,wasiliana na wale wanaoleta Ng`omb Dar utapata kwa bei nzuri tu haizidi laki mbili.Watakupakilia kwenye Gari la Ng`ombe na kukuletea.
 
Wachina wametuharibia menu yetu. Wameongeza nyama ya punda khaaa ndo maana wana macho km makengeza
 
Back
Top Bottom