Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Wendo.. Kigogo.. Wende kibena.. Maana yake upendo au huruma za Mungu.
Madovena... Kingoni.. Nimesahau maana.
Lusungu... Ni kihehe na kibena maana yake Huruma. Ni jina la kiume.
Atu.. Atupele.. Kibena, kihehe, sijui kinyakyusa.. Maana yake alitupata ni Mungu.. Jina la kike.
Anosisye.. Amependeza.
Tulafiona ni lugha gani na maanayak n nn
 
Samia
Tulia - (ila hili kuwa nalo makini anaweza kutoka na sura ngumu kama analia)
Ummy
Doris
Sophia
jokate
 
Ni ke au me? Maana yake ni nini?
Jina la kiume maana yake ni mfalme au king asili yake ni Mali... chukua historia kidogo "Mansa Musa was the ninth Mansa of the Mali Empire, which reached its territorial peak during his reign. Musa is known for his wealth and generosity. He has been subject to popular claims that he is the wealthiest person in history, but the extent... ""
 
Kabila lako ndiyo litakupa majina mazuri sana kuliko walimwengu sisi.
 
Majina ya Kiswahili

Faraja, Furaha, Neema, Waridi, Chausiku, Sikitu, Semeni, Maneno, Sijali, Mwanakwetu, Kalulu, Mboni, Masika, Sikujua, Sikudhani, Bahati, Shida, Matatizo, Upendo, Neema, Shukuru, Siwema, Sululu, Suluhu, Ziada, Zawadi, Siwajibu, Mwanjaa, Malaika, Juma, Jumanne, Jumapili, Jumaa, Kulwa, Dotto, Tatu, Pili, Balozi, Barua, Kipepeo, Mateso, Mfano, Ajuae, Tabu, Mkumbukwa, Mzee, Babu, Fundi, Mfuko, Gogo, Heri, Kibakuli.
 
Back
Top Bottom