KokubanzaRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,
Karibuni wadau.
😂😂😂😂😂 Aisee! People can be very funny 😆Luaga,
Mpina,
Tundu,
Lisu,
Mwigulu,
Nchemba,
Lengai,
Ole,
Sendeka,
Wasira,
Rweyemamu,
Kitila,
Mkumbo,
Ndalichako.
Ohh kumbe, kuna wimbo huwa nausikiliza youtube unaitwa Hallelujah Nkateko. 😊Nkateko
Origin; south afrika
Maana; Kicheko
Gender: wa kiume ndo Bora zaidi.
Mnana maanaake nini? Sijawahi kisikia na nimelikubaliChacha
Mwita
Gati
Bhoke
Wankuru
Wakuru
Matinde
Kinanka
Nyanswi
Maswi
Wambura
Robhi
Kimune
Kezia
Marwa
Wariobya
Matiku
Sokolo
Nyangi
Otaigo
Nyagwe
Mnana
Mwikwabe
Marema
Hayo ni majina ya Wakurya.
NgegemkeniRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,
Karibuni wadau.
KAMBARE ,,,,AU MBWANYEZI AU MZIZI.Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,
Karibuni wadau.
Bantu ni watu wenye asili ya Afrika Magharibi (Cameroon) waliongia Afrika Mashariki kupitia Kongo.Kumbe ni nani
Na bantu ni nani
Ndombolo ya solo maana yake matako ya nyaniManyema kutoka DRC
Ndombolo ya solo , maana yake matako ya nyaniManyema kutoka DRC
😂😂😂Mwashambwa.
Kalufyembe.
Unda Jina la mwanao lipe maana liwe kitenzi akawe Jambo.