Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

Hongera sana Mungu akujaalie upate mtoto mwema! But nilikuwa nauliza kidogo, Umepata ujauzito huo naturally au kuna dawa umetumia Dawa gani? Kuna dada yangu naye ana tatizo hilo hilo la PCOS , angependa nayeye apate ushuhuda wako na ushauri wako!

Saladi,tusaidie umefanyaje au tiba gani umetumia aftr hiyo metformin maana kuna my friend anapitia kama uliyopitia na treatment pia but hajapata mpaka leo..
 
nafkiri ungd share ili na wengne wafaidike kama kuna njia ulitumia
 
pole sana jaman mungu ni mwema atakuponya MziziMkavu njoo pande hizi
 
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO NAOMBENI USHAURI WENU,SABABU NIMEKOSA TUMAINI KABISA

Saladi mbona hujibu maswali watu wanayokuuliza??
 
poleni wapendwa,nilikuwa naumwa kundolewa pole jaman,nilienda hosp nikapewa dawa aina ya norethesterone for 30 days use nilibleed kweli kupima tena no pcos then nikasafishwa kizazi na kupewa clomid then nikaconceive sikuamin,baby dust to all,our lord hears
 
poleni wapendwa,nilikuwa naumwa kundolewa pole jaman,nilienda hosp nikapewa dawa aina ya norethesterone for 30 days use nilibleed kweli kupima tena no pcos then nikasafishwa kizazi na kupewa clomid then nikaconceive sikuamin,baby dust to all,our lord hears

Thanks mpendwa kwa Jibu lako! Je ulienda Hospitali gani? Na Daktari aliyekutibia anaitwa nani?
 
Thank you saladi kwa majibu,na pole kwa kuumwa Mungu azidi kukuponya,akilinde kiumbe chako na akupe nguvu mpka mwisho na ujifungue salama.
 
Last edited by a moderator:
usitafute mtoto kama umempoteza utakuja umzae tundo miaka minne mapema sana dumu ukimuomba Mungu ashindwi na lolote na cyo kununua annointed water huweza kununua huduma ya Mungu wa kweli unless unampata tundo,Mungu na akupe haja ya moyo wako
 
Back
Top Bottom